Duh,thank GOD hakuna aliyejeruhiwa.Haya mabasi wanahitaji kuyakagua upya.On september 9,kuna Dar Express moja ambalo tulikuwa tunasafiri nalo kuelekea Arusha lilinusurika kuwaka moto maeneo ya korogwe(10Kms away from Korogwe mjini).Nimejaribu ku-upload video lakini imekataa.Kwanza fire extinguisher waliyokuwa nayo,ilikuwa ndogo sana,haikusaidia kitu.Thank to GOD tuu,kuna mkandarasi anayeitengeneza hiyo barabara alituma gari la maji ndio likasaidia.Fire ilipigiwa simu,ikaja baada ya saa moja kutoka korogwe.Mimi ninashauri Fire extinguishers za mabasi ziwe za kilogram 20 and above.