kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,132
- 6,100
Basi hilo linalofanya safari zake katika ya Dar na Lindi leo asubuhi limepata ajali katika eneo la Mwandege Mkuranga likigongana na basi aina ya Tata linalofanya safari zake kuelekea mikoa ya kusini.
Baadhi ya abiria toka katika TATA wamejeruhiwa.
Mashuhuda wanasema chanzo ni Trafik alielisimamisha Basi hilo la Baraka kwa ghafla wakati likiwa kwenye mwendo na likajaribu kumkwepa dereva wa bodaboda aliekuwa anatokea Vikindu.