Basi kampuni ya Al Saedy lapata ajali

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
525
1,187
Basi ilo linalofanya safari zake kati ya Dar kwenda Iringa limepata ajali maeneo ya kidoma.

Madhara
Hakuna madhara yoyote kwa abiria zaidi ya staff wa basi hilo kondakta

Chanzo cha ajali ni mwendokasi na dereva kujaribu kulipita gari jingine bila tahadhari.

IMG_6293.jpg
 
Hawa al saedy kuna siku kidogo ituue hii sema namba ya ile gari nimeisahau mpuuzi alikua ana overtake akakutana na chuma fuso imefunguka ikabidi atuchomekee gari yetu ilikua chalinze ruvu jkt pale
 
Hapo kuna ukaguzi wa leseni za udereva na vyeti vya kuhitimu mafunzo ya udereva nchi nzima pamoja na upimaji wa kiwango cha pombe kwa madereva wa magari ya abiria na malori lakini bado hali ni tete.

Tuliwaambia, madereva wa magari ya serikali wana vyeti tena wengine kutoka NIT ila wanajua zebra crossing ni urembo tu wa barabarani.
 
Uzi unaotakiwa kupitiwa!
 
Basi ilo linalofanya safari zake kati ya Dar kwenda Iringa limepata ajali maeneo ya kidoma.

Madhara

Hakuna madhara yoyote kwa abiria zaidi ya staff wa basi hilo kondakta

Chanzo cha ajali ni mwendokasi na dereva kujaribu kulipita gari jingine bila tahadhari.

View attachment 2683969

Similar Discussions

Back
Top Bottom