Basi gani zuri luxury Arusha Dar

Basi gani zuri luxury Arusha Dar

Kama seat zimejaa panda Njuweni bus,?Mrakama bus ,Harambe bus ,Kindokyekombe bus au Taqwa
 
Unataka kuwahi kufika au kuchelewa? Ama kawaida?

Kuwahi kufika panda dar express

Kawaida panda kidia one semi luxury... Anapishana kidogo sana na dar express

Kuchelewa panda kidia one full luxury.... Ndani kuna huduma ya choo, coffee, maziwa, soda, maji, pipi, biscuit , trip comfortability, good customer care.

Esther luxury unaweza katiwa seat namba 10 ukiingia kwenye gari unakuta ina mtu. Ujinga huu wa kusumbua abiria.

Extra luxury full ni zuri ila wabahilii, unachagua tu kati ya maji or soda. Seat zao ziko very comfortable pia ana free WiFi

Kilimanjaro ni out dated. Thoe ile ya inayotoka dar saa 2 ni classic hatari na pia wanatoa chai

Tilisho hana maajabu ila anakimbia thoe hamfikiii dar express.

Tahmeed ni over rated. Sikuona jipya

Gari tamu ni kidia.
 
kwa tahmeed ile ya 2 by 1 iko vizuri
 
Tahmeed zinazopita Arusha kwenda Nairobi, Ester Bus na Kilimanjaro.
Tahmeed wahuni sana. Niliwahi kupanda Basi lao VIP wanadai lina mpaka WI-FI, kuulizia Konda anadai Kifaa kibovu,, na choo hawakufungua mpaka tunamaliza safari..

BM wako vizuri sana. Go for them, hutajutia..
 
Dar express Lina KUNGUNI NA CHAWA NA VIROBOTI HALAFAI KABISA .PANDA BM COACH HUTAJUTIA .SAI BABA PIA LINA CHAWA NA KUNGUNI NA VIROBOTI .USIPANDE MSAE NA SCANDINAVIA COACH HAO WANANYONJA BLOOD WHITE CELL MKUU
Hiv saibaba bado ipo
 
Chuma Ni saibaba au harambee nauli 15k ukifika Arusha unajipongeza na nusu ya Nyama choma + bia tatu ukimaliza unachukua taksi mpaka kwenu 7k hapo ndo unakuwa sawa na mtu alietoa 33k na kuamka asubuh kukimbizana hovyo
 
Back
Top Bottom