Vigezo vyako nakubali 100% hata mimi nikisafiri kigezo cha kwanza ni usalama barabaraniCustomer care na usalama wa barabarani
Vigezo vyako nakubali 100% hata mimi nikisafiri kigezo cha kwanza ni usalama barabaraniCustomer care na usalama wa barabarani
Mada imeisha hapa,mtoa mada fuata ushauri huu wengine watakuchanganya tu.Unataka kuwahi kufika au kuchelewa? Ama kawaida?
Kuwahi kufika panda dar express
Kawaida panda kidia one semi luxury... Anapishana kidogo sana na dar express
Kuchelewa panda kidia one full luxury.... Ndani kuna huduma ya choo, coffee, maziwa, soda, maji, pipi, biscuit , trip comfortability, good customer care.
Esther luxury unaweza katiwa seat namba 10 ukiingia kwenye gari unakuta ina mtu. Ujinga huu wa kusumbua abiria.
Extra luxury full ni zuri ila wabahilii, unachagua tu kati ya maji or soda. Seat zao ziko very comfortable pia ana free WiFi
Kilimanjaro ni out dated. Thoe ile ya inayotoka dar saa 2 ni classic hatari na pia wanatoa chai
Tilisho hana maajabu ila anakimbia thoe hamfikiii dar express.
Tahmeed ni over rated. Sikuona jipya
Gari tamu ni kidia.
Hiv saibaba bado ipo




Niliwahi kupanda hii bus mara ya kwanza kwenda arusha ilinikera sana,tulitumia karibia masaa 14 kufikaN kama Osaka ama Princes muroNiliwahi kupanda hii bus mara ya kwanza kwenda arusha ilinikera sana,tulitumia karibia masaa 14 kufika





Umenikumbusha kwenye hiyo kindokyakombe enzi hizo tunakua mabasi kutoka maranguKama seat zimejaa panda Njuweni bus,?Mrakama bus ,Harambe bus ,Kindokyekombe bus au Taqwa


Kwani mabasi ya msae na scandinavia bado yapo mkuu??!!Dar express Lina KUNGUNI NA CHAWA NA VIROBOTI HALAFAI KABISA .PANDA BM COACH HUTAJUTIA .SAI BABA PIA LINA CHAWA NA KUNGUNI NA VIROBOTI .USIPANDE MSAE NA SCANDINAVIA COACH HAO WANANYONJA BLOOD WHITE CELL MKUU
Waambie ukweli hao Wazee,au wakishindwa kabisa wakapande treni la Magufuli,au vp Chalii wangu wa Mathejoo!?Old skuli hayo mabus ya wazee mliokariri magari ya enzi hizo hamjui vitu vipya.
Tahmeed sawa lakini Ester na Kilimanjaro hapana. Hakuna luxury yeyote kwenye mabasi haya.Tahmeed zinazopita Arusha kwenda Nairobi, Ester Bus na Kilimanjaro.