Basi gani zuri luxury Arusha Dar

Basi gani zuri luxury Arusha Dar

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,065
Habari wandugu.

Nina safari ya Arusha hivi karibuni. Naomba kufahamu gari zuri luxury naweza kupanda nikafurahia safari.

Ahsante.
 
Dar express na Kimboka Royal coach na The super pride of kibosho
 
yani kila mtu anavutia upande wake mpaka mleta uzi anashindwa kuwaelewa.binafsi basi nilizowahi kupanda nika appreciate huduma yao ni Tahmeed na bm vip . ukienda kukata tiket waambie kabisa unataka basi la viwango gani maana wanazo vip na ambazo sio vip, na inategemea pia na eneo unalopandia basi.
 
Habari wandugu.

Nina safari ya Arusha hivi karibuni. Naomba kufahamu gari zuri luxury naweza kupanda nikafurahia safari.

Ahsante.
BM MKUU WON'T GOING WRONG HASA UKIPANDA LILE LENYE CHOO PALE KATIKATI YA BASI NA ISISAHAU AC
 
Back
Top Bottom