Ziko nyingi tu.Habari zenu wakuu ninatarajia Kuwa na kasafari kuelekea arusha nasikia ni safari ndefu kidogo...so nauliza gari nzuri kutoka Dsm to arusha ambayo itafanya safari isiwe ni yenye kuchosha...wajuzi krbuni
Thanks chiefMarangu Coach haitadhuru! Ukiona vipi unaweza switch to BM Coach pia. Zote quality moja, office ziko shekilango
Ahsante mkuuZiko nyingi tu.
Kama unataka luxury nzuri ni Kilimanjaro express nauli 33000 haipungui hata buku.
Ukitaka class ya kawaida ila wapo smart kuna Kidia one na nyingine Happy nation pia kuna Esther,hizi nauli zake hazitabiriki inategemea ujanja wako hata kwa elfu 25000 au 22000 unakwenda.
Kwa hiyo angalia mfuko wako umejipangaje.
And alphabetically graded or ??Bm, esther, extra, dar exp, kidia one, klm, marangu, tahmeed.... Alphabetically arranged.
Hapo sijagrade kitu, ila tahmeed ni full 2*1 siti sofaAnd alphabetically graded or ??
Nimesafiri na karibu magari yote yenye majina makubwa Arusha-Dar (to and fro)!Habari zenu wakuu ninatarajia Kuwa na kasafari kuelekea arusha nasikia ni safari ndefu kidogo...so nauliza gari nzuri kutoka Dsm to arusha ambayo itafanya safari isiwe ni yenye kuchosha...wajuzi krbuni
Nashukuru mkuu namba nimechukuaNimesafiri na karibu magari yote yenye majina makubwa Arusha-Dar (to and fro)!
Kuongea kwa bila fitna, gari ambayo nime enjoy na safar ni Kidia One, ni very comfortable, huduma nzuri sana, unagaiwa kahawa/chai ndani on request (free)!!
Sitaki kuongelea mabus mengine, lkn kiukweli mengine ni majina tu ndo yanayabeba, jaribu Kidia one najua utarejesha mrejesho hapa.
Ninayo namba yao ya Arusha kama hutojali jst take it wataku link na ofisi za Dsm!!
Namba ni 0715113344 (Kidia One Arusha)
Mna offer nn cha tofauti mkuu plzNjoo na Marangu Coach wewe.....hutajuta.......
Nashukuru bossHapo sijagrade kitu, ila tahmeed ni full 2*1 siti sofa