Matajiri wa mabasi wapeni muda wa kupumzika Madereva wenu

Stayfar

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,067
2,222
Kipindi hiki Cha sikukuu, Madereva wa mabasi hawapumzushwi. Unakuta Dereva anaendesha gari kwenda Dodoma, akifika stend anashusha abiria na kwenda kujaza mafuta tu!

Baada ya hapo anakuta abiria wanasubiri gari, hapumzishwi anageuza muda huohuo. Unawaona kabisa madereva wamechoka.

Hapa ninapoandika kuna dereva kashuka kwenda bafuni kuoga ili aondoe uchovu,abiria tumo ndani ya bus tunamsubiri, kaingia Dodoma asubuhi hii na hivi Sasa tunageuza naye kuja Dar.

Hii ni hatari kwetu sisi wasafiri.
 
Back
Top Bottom