πππ madako yako..... ChATUArizona coach hili bus la kigoma nilipanda wakat naenda tabora goma linakunguni wakutosha mende mchwa na siafu halafu nilisikia abiria seat za nyuma wakilalamika wenzao wameliwa na chatu konda wala hajali wala nini
Wewe ni shujaa kama uliweza kupata usingizi kwenye basi la sampuli kama hiyoKuna basi nilipanda kutoka ifakara to Dodoma, aise gari ndani Lina mifugo mingi kuliko abiria, just imagine mtu anapanda ndan ya bus amebeba mbuzi na kuku ndan ya gari,,kilicho niboa zaid nimelala usingiz kuja kushtuka nashangaa mbuzi ananilamba nywele.
kubwa kulikoπππ hii kali ya mwaka!!
Nilipanda KIMOTCO ya Bukoba kuna kunguni za kutosha,kufika nyumbani nilichoma nguo zote . Unaweza ukachukua mbegu za kunguni ukapeleka nyumabaniNi basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Huko Magari yote mapyaa...mazuri na yana ustaarabu, hata Arusha - Dodoma...barabara ya Dar - Arusha ukiweka gari baya tu unatolewa kwenye route na magari makaliSijaona comment kwa Route za Dar TANGA
Dar Arusha
TANGA Arusha
Huku Ni ustaarabu π―
nilikata Siti mbili na mwanangu kufika handeni tumefaulishwa basi lingine hakuna Siti πππ limejaa.Kuna basi lakwenda Kilindi/Songe mkoani Tanga linaitwa KIPACHA. Wamekaa waswahili yani unakatiwa tiketi ya kwenda Songe ila ukifika Handeni mjini unafaulishwa kwenye gari yao nyingine.
Ukikosa siti utasimama kuanzia Handeni mpaka Songe.
Kampuni ya hovyo sana sijawahi ona
panda hayo machungwa haina shida tuachie izo F360 zetu tena kuna irizar ipo tundumaSipo huko mkuu nazungumzia huduma
Hili bus nimelipanda mwaka jana kwenda Kilimanjaro halikuwa baya hata kidogo π³Hamna basi pale....hajui kuchagua vitu vizuri.
Unaenda na jagi la kuchemsha maji,πππ socket zinafanya kazi?
Nawaza aibu hii.. Kuna mwamba tumbo lilimchafuka tunatoka Dar kwenda Njombe, njiani alisimamisha gari zaidi ya mara 3. Ila yeye sikumuona anakula kula vibaya. Ile aibu haielezeki.Hii ya kujinyea niliwahi kutana nayo kwenye safari flani hivi huyo kaka nilimuhurumia sana
Happy nation waduanzi πHappy nation & Saibaba
ππππππ safari ilichangamkaZakaria Trans,Mwanza -Tarime.Bus lilikuwa poa tu ila ngumi sasa.1.Dereva v/s konda 2.Konda v/s abiria 3.Abiria v/s Dereva 4 .Konda na derevav/s abiria 5.Abiria v/s Abiria.Mwisho kabisa Sister wa Kikatoliki v/s Konda.
Hapana. Luwinzo basi zake nyingine huwa anaziita Sweet Africa.Happy Africa ni Luwinzo
KomaππJina nimesahau ila ni route ya Dar to Musoma, jamanii lile bus ni chakavu afu lina kungunii balaaa. Asee niliteseka hatariii sirudii tenaa.
Ilikua 2017