Mabadiliko katika uongozi wa Samia yameathiri maendeleo. Nakumbuka mkuu Fulani wa Dar alipeleka ujumbe Rwanda kujifunza namna ya kupamba mji, akawa anatayarisha bajeti ili wakirudi waanze kupanda miti, majani, kuweka sehemu za kukalia, kutengeneza mitaro nk. Siku waliorudi wakakuta mkuu kabadilishwa Jana yake!
Au Mchengerwa aliyemwahidi............9hiii hadithi imenitoka lakini nilimsikia huyo mhusika mwenyewe), kesho yake Mchengerwa alipeleka Wizara ya Afya. This is madness, totally dumbas. Hakuna nchi inayoendelea hivyo, katu!