Nilitegemea tu ungesema hayo..tunajua ni kwanini??
Never appreciate akishakuwa na majina kama yaleeee..
Bashiru Ally ni type ya kina Benson Bana. Hawezi kumfikia Chachage hata kwa 2%. Kwa taarifa yako huyu bwana ni mmoja ya wapiga debe wa CCM wazuri sana. Aliisha wahi kuwa Kampeni manager wa aliyekuwa mbunge wa CCM bukoba vijiji marehemu Sebastian Rukiza Kinyondo (RIP) ambaye alimpatia asante baada ya kuukwaa uwaziri wa kazi kwa kumwachia nyumba yake iliyo karibu na Mabibo Hostel aishi bila kulipa kodi.
Mimi huwa nikimuangalia simuamini na wala simuelewi dhamira yake ni nini hasa?, kuonekana academician?, kuonekana ni Independent person au kuonekana vipi hasa, maana matamko yake mengi hayaelezi uhalisia wa maisha ya leo zaidi ya blah blah za ujamaa. Sidhani kama hana dhamira ya kugombea nafasi ya uongozi hasa ubunge kupitia CCM, maana hiyo ni hobbie, aliishawahi kujaribu kuombea urais wa DARUSO mwaka 1998 akashindwa vibaya sana. Ila jamaa ukiwa humfahamu anaweza kukubadili nia kwa utaalamu wa kupangalia hoja. Nafikiri bado anapima upepo ili asiharibu kipaji.
Na hoja kubwa ni suala la ardhi. Km kuna jambo ambalo serikali inalifanyia mzaha ni suala hili. Ardhi kwa wakulima ni zaidi ya uchumi. Ni imani, uhai, familia. Ni kila kitu. Uwekezaji wa ardhi kwa sheria zilizopo zinasababisha uporaji wa ardhi wa wakulima. Mikoa ya pwani, arusha, morogoro, iringa na mbeya hali ni mbaya!
Duh itakuwa sii mchezo maanake leo hii huko Syria wafanyabiashara wote wameamua kufunga maduka yao basi serikali imeyumba vibaya sana hadi wanajeshi wanatembeza bakora watu wakafungue maduka sasa imagine iwe Wakulima hapa kwetu!.Acha Chachage pembeni, Mnajua kwamba hakuna Mwanasiasa hata mmoja Tanzania mwenye ilani inayotetea maslahi ya WAKULIMA ningawa ndilo kundi kubwa la wananchi na Kilimo ni uti wa mgongo wa Uchumi wetu?
Duh itakuwa sii mchezo maanake leo hii huko Syria wafanyabiashara wote wameamua kufunga maduka yao basi serikali imeyumba vibaya sana hadi wanajeshi wanatembeza bakora watu wakafungue maduka sasa imagine iwe Wakulima hapa kwetu!.
Ukumbi wa Siasa Tanzania ni mfinyu sana na kama atakuja tokea mtu akagombea Urais kwa kuwatetea wakulima kwanza akawatumia hawa kama kigezo cha harakati zake basi sidhani kama kuna chama ama mtu wa kushindana naye lakini ndio hivyo wanasiasa wetu bado wapo kizani sana wanatazama matukio kujenga sera na ilani zao badala ya kuwa na msingi wa malengo mbele...
Uwanja uko wazi na kusema kweli wanasiasa kama wanataka ku score umaarufu haraka, uwanja huu uko wazi kwa miaka mingi sana toka Nyerere aondoke na hakika kilichompa umaarufu Nyerere ni kuwajali Wakulima kwanza - Nchi hii ni ya WAKULIMA na Wafanyakazi, akachukua nchi..
Bashiru Ally ni type ya kina Benson Bana. Hawezi kumfikia Chachage hata kwa 2%. Kwa taarifa yako huyu bwana ni mmoja ya wapiga debe wa CCM wazuri sana. Aliisha wahi kuwa Kampeni manager wa aliyekuwa mbunge wa CCM bukoba vijiji marehemu Sebastian Rukiza Kinyondo (RIP) ambaye alimpatia asante baada ya kuukwaa uwaziri wa kazi kwa kumwachia nyumba yake iliyo karibu na Mabibo Hostel aishi bila kulipa kodi.
Mimi huwa nikimuangalia simuamini na wala simuelewi dhamira yake ni nini hasa?, kuonekana academician?, kuonekana ni Independent person au kuonekana vipi hasa, maana matamko yake mengi hayaelezi uhalisia wa maisha ya leo zaidi ya blah blah za ujamaa. Sidhani kama hana dhamira ya kugombea nafasi ya uongozi hasa ubunge kupitia CCM, maana hiyo ni hobbie, aliishawahi kujaribu kuombea urais wa DARUSO mwaka 1998 akashindwa vibaya sana. Ila jamaa ukiwa humfahamu anaweza kukubadili nia kwa utaalamu wa kupangalia hoja. Nafikiri bado anapima upepo ili asiharibu kipaji.
Topical wewe ni nomaNilitegemea tu ungesema hayo..tunajua ni kwanini??

Umesema kweli inaonekana unamfahamu vizuri. Huyu bwana ni opportunist na ni rahisi kununulika. Ukimwona kwa nje utaona yupo bold lakini ukweli hana tofauti na Dr Bana. Mwingine ambaye pia ukimwona kwa nje utadhani ni bold ni Dr Fransis Michael lakini ni kibaraka wa ajabu! Mtu ambaye anachipukia vizuri na msimamo usioyumba ni Dr MkumboBashiru Ally ni type ya kina Benson Bana. Hawezi kumfikia Chachage hata kwa 2%. Kwa taarifa yako huyu bwana ni mmoja ya wapiga debe wa CCM wazuri sana. Aliisha wahi kuwa Kampeni manager wa aliyekuwa mbunge wa CCM bukoba vijiji marehemu Sebastian Rukiza Kinyondo (RIP) ambaye alimpatia asante baada ya kuukwaa uwaziri wa kazi kwa kumwachia nyumba yake iliyo karibu na Mabibo Hostel aishi bila kulipa kodi.
Mimi huwa nikimuangalia simuamini na wala simuelewi dhamira yake ni nini hasa?, kuonekana academician?, kuonekana ni Independent person au kuonekana vipi hasa, maana matamko yake mengi hayaelezi uhalisia wa maisha ya leo zaidi ya blah blah za ujamaa. Sidhani kama hana dhamira ya kugombea nafasi ya uongozi hasa ubunge kupitia CCM, maana hiyo ni hobbie, aliishawahi kujaribu kuombea urais wa DARUSO mwaka 1998 akashindwa vibaya sana. Ila jamaa ukiwa humfahamu anaweza kukubadili nia kwa utaalamu wa kupangalia hoja. Nafikiri bado anapima upepo ili asiharibu kipaji.
Kampeni zake zilikuwa nzuri na angeshinda ila alikosea akatumia udini (uislamu) watu wakamtosa siku za mwishoHapo kwenye red ni kweli kabisa ilikuwa Mwaka 1995 na alipoingia UDSM alikuwa anakaa Hall on amebebwa na mtu..Baadae akiwa 1 yrs akagombea urais DARUSO akashindwa vibaya sana..Muulize Kitila Mkumbo alikuwa anapinga sera zake akiwa rais wa Daruso..Huyo jamaaa anapenda sana kujipendekeza.Yeye na BANA wako sawa kabisa
Huyu msomi toka chuo kikuu cha dsm yupo channel ten. Anasema wakulima si muda mrefu watafanya mapinduzi kwa sababu ya wakulima kusahauliwa na mpango dhaifu wa kilimo kwanza. Msomi huyu ananikumbusha chachage. Amefanana kwa mengi na marehemu chachage sethy chachage.
Du! kumbe! Nimemfahamu Bashiru Ally kwa miaka michache, na nimekuwa nikishangazwa na jinsi anavyogeuka msimamo siku kwa siku, katika hoja zake. nilivutiwa na hoja zake mwanzoni, lakini siku za karibuni nimekuwa na mashaka naye. sasa naelewa kwa nini.Bashiru Ally ni type ya kina Benson Bana. Hawezi kumfikia Chachage hata kwa 2%. Kwa taarifa yako huyu bwana ni mmoja ya wapiga debe wa CCM wazuri sana. Aliisha wahi kuwa Kampeni manager wa aliyekuwa mbunge wa CCM bukoba vijiji marehemu Sebastian Rukiza Kinyondo (RIP) ambaye alimpatia asante baada ya kuukwaa uwaziri wa kazi kwa kumwachia nyumba yake iliyo karibu na Mabibo Hostel aishi bila kulipa kodi.
Mimi huwa nikimuangalia simuamini na wala simuelewi dhamira yake ni nini hasa?, kuonekana academician?, kuonekana ni Independent person au kuonekana vipi hasa, maana matamko yake mengi hayaelezi uhalisia wa maisha ya leo zaidi ya blah blah za ujamaa. Sidhani kama hana dhamira ya kugombea nafasi ya uongozi hasa ubunge kupitia CCM, maana hiyo ni hobbie, aliishawahi kujaribu kuombea urais wa DARUSO mwaka 1998 akashindwa vibaya sana. Ila jamaa ukiwa humfahamu anaweza kukubadili nia kwa utaalamu wa kupangalia hoja. Nafikiri bado anapima upepo ili asiharibu kipaji.
Kampeni zake zilikuwa nzuri na angeshinda ila alikosea akatumia udini (uislamu) watu wakamtosa siku za mwisho
Wapi hiyo mkuu?Bashir kuwa sawa na Chachage ni utani usofaa.
Anaficha misimamo yake. Pale Ihungo H/school akiwa HP hakupata kutetea maslahi ya wanafunzi. Iliaminika kuwa alikuwa TISS coz it was known to be married lakini uongozi wa shule hawakumgusa
Kumbe ni kada toka siku nyingi...Bashiru Ally ni type ya kina Benson Bana. Hawezi kumfikia Chachage hata kwa 2%. Kwa taarifa yako huyu bwana ni mmoja ya wapiga debe wa CCM wazuri sana. Aliisha wahi kuwa Kampeni manager wa aliyekuwa mbunge wa CCM bukoba vijiji marehemu Sebastian Rukiza Kinyondo (RIP) ambaye alimpatia asante baada ya kuukwaa uwaziri wa kazi kwa kumwachia nyumba yake iliyo karibu na Mabibo Hostel aishi bila kulipa kodi.