Eti makamba ana maadili kuliko mizengo pinda? Ule mchakato uliwaachia wengi vidonda.Jaji Ramadhani, Pinda, Bilall, Mwigulu, Makongoro, Wasira, Sumaye, etc. Wote ambao hawakufika 5 bora tuseme walionewa!!
Dar es Salaam. Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe amesema anaamini Edward Lowassa hakuenguliwa kwa haki na CCM katika mchakato wa kumpata mgombea urais wa chama hicho, na kwamba waziri mkuu huyo wa zamani si pekee ambaye amekumbana na uonevu kama huo.
Bashe, ambaye ameingia bungeni kwa mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana akipeperusha bendera ya CCM, pia amesema kashfa zote zinazoikumba Serikali hutengenezewa suluhisho kwa malengo fulani na si kutafuta muafaka wa haki.
Kiongozi huyo wa zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM alisema hayo katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Bashe, ambaye alikuwa kambi ya Lowassa wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM, alisema ingawa hana uhusiano tena wa kisiasa na kada huyo, anaona tukio lake kuwa ni historia ya kutotendea haki wanachama wengi wa CCM. “Si Lowassa pekee, wako wengi,” alisema Bashe katika mahojiano hayo.
Nani sasa aliyienguliwa kwa haki huko CCM? Maana walikatwa walikuwa wengi sana.Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe amesema anaamini Edward Lowassa hakuenguliwa kwa haki na CCM katika mchakato wa kumpata mgombea urais wa chama hicho, na kwamba waziri mkuu huyo wa zamani si pekee ambaye amekumbana na uonevu kama huo.
Bashe, ambaye ameingia bungeni kwa mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana akipeperusha bendera ya CCM, pia amesema kashfa zote zinazoikumba Serikali hutengenezewa suluhisho kwa malengo fulani na si kutafuta muafaka wa haki.
Kiongozi huyo wa zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM alisema hayo katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Bashe, ambaye alikuwa kambi ya Lowassa wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM, alisema ingawa hana uhusiano tena wa kisiasa na kada huyo, anaona tukio lake kuwa ni historia ya kutotendea haki wanachama wengi wa CCM. “Si Lowassa pekee, wako wengi,” alisema Bashe katika mahojiano hayo.
Chanzo: Mwananchi
Bashe ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya New Habari ambayo ndio wamiliki wa gazeti la Mtanzania kampuni inayomilikiwa Rostam Azizi rafiki yake mkubwa Lowassa unganisha doti hapo...sina uhakika kama habari siku hizi zinapitia News room au zinatoka kwenye Simu na kuchapishwa....yapo mambo mengi ya kuandika huko Vijijini Wananchi wakaelimika.....Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe amesema anaamini Edward Lowassa hakuenguliwa kwa haki na CCM katika mchakato wa kumpata mgombea urais wa chama hicho, na kwamba waziri mkuu huyo wa zamani si pekee ambaye amekumbana na uonevu kama huo.
Bashe, ambaye ameingia bungeni kwa mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana akipeperusha bendera ya CCM, pia amesema kashfa zote zinazoikumba Serikali hutengenezewa suluhisho kwa malengo fulani na si kutafuta muafaka wa haki.
Kiongozi huyo wa zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM alisema hayo katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Bashe, ambaye alikuwa kambi ya Lowassa wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM, alisema ingawa hana uhusiano tena wa kisiasa na kada huyo, anaona tukio lake kuwa ni historia ya kutotendea haki wanachama wengi wa CCM. “Si Lowassa pekee, wako wengi,” alisema Bashe katika mahojiano hayo.
)
Chanzo: Mwananchi
ALIYEONEWA KULIKO WOTE NI JAJI LUBUVA JAJI MZIMA ANALAZIMISHWA KUIBA KURA SIJUI TUNGEMKAMATA ANGEJIFICHA CHINI YA DARAJA GANI LA HUYU MKANDARASI ALIYEMSAIDIA KUIBA KURA ZETUNani sasa aliyienguliwa kwa haki huko CCM? Maana walikatwa walikuwa wengi sana.

Kumbe kuna watu wengine hawahusiki na hii Habari..?Kwani hii habari inakuhusu?
... Je Tanzania iko sawa sasa?Mungu ana njia nyingi za kuepusha mambo, hapa alipanga "aonewe" ili Tz iende sawa.
Hata wana chadema walionewa kwa kunyimwa demokrasia ya kugombea kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya chadema kwenye nafasi ya urais 2015Muache kulalamika huko UKAWA kwamba Bwana fulani alionewa!!
Wanasiasa wengi hasa wa nchi hii hungojea chai ipoe kwanza ndipo wainywe kama juice!!Mbona hakukataa siku ile kwenyemchakato?? Leo hii ndo anasema kwamba kaonewa? wala simpongezi Bashe kwa hili.