Bashe: Si Lowassa pekee aliyeonewa CCM

Bashe: Si Lowassa pekee aliyeonewa CCM

Sijui ni kwanini ashamie kwenye chama cha wasema kweli.

Mbona anajikosesha amani kwa kukaa na chama hiki.

Bashe Jiunge na wapenda haki na wasema kweli wenzio.

Hahaha hii video. Ndio maan tunaambiwa tuwe na akiba ya maneno.
 
Back
Top Bottom