Wakuu,
Nimepata kusikia audio Musukuma akihojiwa kuhusu taarifa zilizosambaa jana kuwa yeye na wengine niliowataja kwenye title hapo kuwa wamefukuzwa uanachama.
Nimejaribu ku share iyo audio but imeshindikana kuja. Nitanukuu maneno ya Musukuma
"Uongo Mtupu, wameandika mimi na Bashe na malima tumefukuzwa uanachama, hapa nilipo nimepiga kijani na mi ni mwanachama na kesho watazungumza, itaonyeshwa live. Ni maneno tu ya propaganda. "
Fikra sahihi za mwenyekiti zinawachanganya...CCM wamekua waoga kama kunguru
Tanzania ya viwanda inakuja hivyooMuda mfupi Bashe ametoka kuhojiwa hapa azam TV akiwa viwanja vya ofisi ya ccm Dodoma kuhusu kushikiliwa kwake. Amesema majibu yote kuhusu yeye na wenzake atayatoa Katibu Mkuu wa CCM Kinana.
Fisiem mnaumana wenyewe kwa wenyewe wengine watazamaji tu.Chaggadema wamepatwa na tumbo la kuhara
Ila asubuhi hii wamekamatwa wako lokapu DomWakuu,
Nimepata kusikia audio Musukuma akihojiwa kuhusu taarifa zilizosambaa jana kuwa yeye na wengine niliowataja kwenye title hapo kuwa wamefukuzwa uanachama.
Nimejaribu ku share iyo audio but imeshindikana kuja. Nitanukuu maneno ya Musukuma
"Uongo Mtupu, wameandika mimi na Bashe na malima tumefukuzwa uanachama, hapa nilipo nimepiga kijani na mi ni mwanachama na kesho watazungumza, itaonyeshwa live. Ni maneno tu ya propaganda. "
[emoji23] [emoji23] naona CCM stress zenu mnaziamishia chademaChaggadema wamepatwa na tumbo la kuhara
Usituletee hangover ya timuatimua, na bado wakimaliza awamu hii wanashuka ngazi ya wilaya hadi mkome.Michagga imekalia kitu chenye ncha kali
Hatushangai bali tunataka mtimuane hadi akibaki Mkiti pekee who cares.Nashangaa vijana wa upande wa pili kushangaa CCM mtu anayeenda kinyume na maadili ya chama na kudai CCM haina demokrasia,wakati huo wao walifukuza watu kisa tu kuchukua fomu ili kushindana na mwenyekiti wao.
hahahaha think twice