Bashe anataka kumfanya nini Nape? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bashe anataka kumfanya nini Nape?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamura, Jul 13, 2011.

 1. K

  Kamura JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Gazeti la leo la Mwanahalisi limepambwa na kichwa cha habari "Nape amgeukia Kikwete" likimnukuu Nape akisema kwamba JK ndiye chanzo cha matatizo ndani ya CCM na kumtaka naye ajivue gamba. La ajabu maneno hayo yanadaiwa Nape aliyatoa akiwa kwenye chumba cha habari cha New Habari (2006) Ltd, mahasimu wakubwa wa Mwanahalisi ambao walichafuana kwa kupakana matope kupitia magazeti yao.

  Mazungumzo yaliyochapishwa inaonekana yalikuwa majibishano kati ya Nape na Bashe. Lakini baada ya majibishano hayo kwa lengo la kufanya 'Character assasination' Bashe ameamua kuongeza chumvi aliyoyasema Nape na kuwapa mahasimu wake (Mwanahalisi) ambao wamekuwa wakimwandika vibaya bosi wake (Rostam) ili amgombanishe na Mwenyekiti wake JK.

  Bashe anaonyesha haja komaa kisiasa, pamoja na tofauti walizonazo (Nape na Bashe), Nape alimua kuitembelea New Habari bili kujali kwamba wana uhasimu wa kisiasa lakini alichokifanya Bashe ni utoto unaolenga kumwaribia Nape.

  Mwandishi wa Mwanahalisi aliingiaje kwenye chumba cha habari cha New habari?

  Bashe acha siasa za maji taka.
   
 2. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Maneno ya Nape kutoka gazeti la MwanaHalisi

  Source: MWANAHALISI,JULAI 13,2011 Jumatano.
   
 3. K

  Kaseko Senior Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  watajuana wenyewe magamba
   
 4. K

  Kamura JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huko kuvuana magamba kutatoka na nyama.
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,127
  Trophy Points: 280
  Kwani alichosema Nape uongo Kikwete ndiye sababu ya magamba mengine kugoma.
   
 6. sidimettb

  sidimettb Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuki chungu kwa binadamu co!,kama hii taarifa ni ya kweli,ni alert nyingine kwa mkuu wa kaya kwamba n.a.pe ni mnafiki mkubwa,kilichomfanya aanzishe ccj bado anacho rohoni-atakuja kummaliza jk one day.Ngoja nipate nakala yangu Mwanahalisi kwanza
   
 7. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Bashe na akili zake za kitoto,siasa zake za maji taka zinampeleka pabaya huku akijiona kuwa yeye ni mjanja fulani toka Nzega, Hizo ni mbinu zile zile zilizowahi tumiwa na Salva + RA kabla ya 2005...Sioni jipya mwenzenu
   
 8. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Afadhali Nape sasa anagundua kuwa yeye ni mende tu kwa hiyo hawezi kuangusha kabati.
   
 9. P

  Paul Makonda Verified User

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Jf niwatu makini.umeanza kwa kukurupuka sana tafura habarikamili Kwanza ndipo u comment. naona unahamu sana yakuanzisha Chama, ccj imetokawapi hapo?
   
 10. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  As i replied in one of the topics recently, CCM started music by the name CHENGE, LOWASA AND ROSTAM ( call it magambas) so that everybody will stand, listen and play so that we forget wat CCM has done to us, now things has change, nobody listen or play there music. Now they all try to play everybody his own music so that we can count him innocent. TOOOOOOO LAIT FOR THAT. WE NEED CHANGES. CCM GOOOO GOOOO. We are tired of you. We don't deserve on how we are fo all this 50 yrs.

  WE NEED CHANGES, YES WE CAN
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Who Cares?
   
 12. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ndicho ninachompendea Nape Huwa Hamung'unyi Maneno, Nape Mwambiye Ukweli huyo Mwenyekiti wako
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hata nape hajakomaa kisiasa!!kajiingiza kichwa kichwa watu wameamua kufanya kweli.Hongera Bashe kwa kutumia nafasi hadimu kutimiza malengo yako ya kisiasa!!
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wale waliyemuujumu NEC na kukata jina lake kwa kisingizio cha uraia walikuwa wanafanya siasa za kikubwa?haikuwa siasa ya maji taka?yeye alipoamua kuendelea kubaki CCM hata baada ya kuonewa na kudhalilishwa mbona mlimuita amekomaa kisiasa?vipi leo mbona anaonekana hajakomaa kisiasa?kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!!
   
 15. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo tukuelewe kuwa Umetumwa na Nape au unametetea Nape?
  Hebu Toa Upuuzi wako hapa, kwani hujui kuwa Kikwete ndio Gamba kama yalivyo ya pacha 3
   
 16. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ongezea na So What? Who cares about what they do? They are a dying party already.
   
 17. rennychiwa

  rennychiwa Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Dawa ya nyoka mwenye sumu ni kumuangamiza kabisa, hata akijuvua magamba ataendelea kuwa nyoka tu mwenye madhara
   
 18. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Now they are talking. Hatimaye ukweli unasemwa. Bado tunasubiri zaidi. Kama ni kweli huyo nepi kaongea hivyo huo ndiyo ukweli wenyewe. Kumbe ukweli wanaujua lakini wanajaribu kutaka kukata majani ya mti mbaya na kuliacha shina hamuwezi kujisafisha. Mtaendelea kufanya pumba pumba pumba tu. Anzeni na ile "source" halafu ndiyo muwafuate akina mzee vijisenti na wengine.
   
 19. K

  Kamura JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa mtaji huo UVCCM na CCM hawawezi kuisaidia CCM kwani wajenzi wa nyumba moja hawawezi kujenga kwa kunyang'anyana fito.
   
 20. K

  Kamura JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Simtetei Nape ila alichokifanya Bashe ni ubazazi kwani huwezi kumkaribisha mtu kwako halafu ukamzushia jambo. Hayo ya JK kama naye ni gamba waazimie kumvua.
   
Loading...