Bashe upo kwenye kilele cha mafanikio

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
17,336
21,435
Amani iwe kwenu,

Tunafurahi kumpata mpambanaji mpya bungeni kijana husseini bashe mbunge wa nzega aka domo fataki

Lakini labda tumkumbushe bashe yale yote anayoyapigania kwa kupaza sauti ni maslahi yake binafsi si chama wala wananchi wake waliomtuma wa nzega

Bashe amesahau kuwa yupo pale kwa tiketi ya ccm si vinginevyo hata anaposema afukuzwe mwenyewe ana uhakika kuwa chumba chake kipya ameshakisafisha kinamsubiri yeye,

Bashe amesahau kama kuna mtu anaitwa kafulila alitetea maslahi ya taifa kweli bungeni lakini leo hii hata alipo potelea hatui sembuse yeye mwenye kutafuta kiki,
wanafiki waliokuzunguuka na wewe ni mmoja wa wanafiki hupenda kuanzisha migogoro nina kumbukumbu ulikuwa na mgogoro na kigwangwala usio na kichwa wala miguu,

Tunajua huna hasira na usalama wa taifa ila una hasira na john magufuli baada ya kumshinda lowassa na hasira zaidi ni pale kampuni yenye maslahi na nyinyi ilipolazimishwa kujiunga kwenye soko la hisa,kwani unapoitisha ccm ikufukuze wewe ni nani na una historia gani kama alifukuzwa sophia simba,akaondoka kingunge,lowassa,seif bado ccm ipo wewe ni nani, ili nikuone shujaa anza kuondoka mwenyewe kuliko kungoja kufukuzwa ili tukusifie kua ni mpiganaji wa haki,usalama walikukamata baada ya kuwa ulitaka kuvuruga mkutano mkuu kwani uongo,

Kumbuka wanaokuchochea sasa watakukana baadae

Kama unataka kuishambulia sana serkali rudi kule new habari kafanye kazi ya uhariri

Tanzania ndio kwanza inaanza zama mpya za utawala wa awamu ya tano tunataka hoja zenye tija na taifa,

Hao unaowalalamikia sasa umesahau kipindi cha utawala wa rostam na lowassa uliwatumia kufanya na kuficha madhambi yenu sasa wanadai chao kwa kazi waliokufanyia walipe sasa,

kijana wa kisomali usiongee sana mwisho utaongea pumba!

Kamua baba magufuli hapa kazi tu

Tumeshaanza kuwaona sungura na ndezi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom