Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,607
Mgombea Ubunge Jimbo la Nzega mjini na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Septemba 19,2025 akiwa katika mkutano wa Kampeni kata ya Gongoni Jimbo la Tabora mjini amemlisha kiapo cha kuwatumikia Wananchi Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini Hawa Mwaifunga mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano huo.
Bashe ameeleza kuwa Mwaifunga ni miongoni mwa wabunge waliokuwa wakimsumbua mara kwa mara kuhusu Kiwanda cha Tumbaku na Kiwanda cha Mbolea.
Bashe ameahidi kuwa viwanda hivyo cha mbolea ya Tumbaku na Kiwanda cha Tumbaku vitajengwa Tabora, hivyo amewataka wananchi wa Tabora kumpigia kura Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Samia Suluhu, Mbunge Hawa Mwaifunga na Madiwani wa CCM.