Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,856
- 62,346
Bashe ni moja ya vijana wazee wajinga sana ni mchumia tumbo. Yaani pamoja na kujiona ni mfalme wa kuleta michongo ya ovyo ila wapi mfumo umemtemaSubiri report ya CAG akwambie bank ya kilimo iliyoanzishwa juzi ipo chali. Jamaa washakomba mtaji wote na wametokomea kusiko julikana.
Hivi kitu gani Bashe amewahi anzisha kikadumu hata mwaka mmoja zaidi ya kuongeaga ujinga tu, kupewa hela nyingi kwa ideas zake hovyo.
Mnawakuza sana hawa wapuuzi ambao hawana mafanikio ya utendaji. Hali ya kilimo ni worst zaidi ya alivyoikuta na kapewa zaidi ya trillion tatu ndani ya muda wake. Legacy zero, nada; halafu unatuambia mmbunifu jitu jizi.
huyo shetani wa kifo tunaomba asipumzike awatembelee hawa wote, awafyeke woteeTulia, Doto, Bashe na wengine jiandaeni Jenister keshatangulia Kifo ni kifo tu hatutaki taharuki.
Walifikiri wataishi milele imefika wakati wao wanaamua nani aishi nani asiishi😓😓huyo shetani wa kifo tunaomba asipumzike awatembelee hawa wote, awafyeke wotee
Good questionSio lazma awe yeye kwani wengine hawapo?
Tulia, Doto, Bashe na wengine jiandaeni Jenister keshatangulia Kifo ni kifo tu hatutaki taharuki.
Ino fanya namna usepe!Tulia, Doto, Bashe na wengine jiandaeni Jenister keshatangulia Kifo ni kifo tu hatutaki taharuki.
Alikuwa CHEAP.Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Mkuu sakata la sukari, tayari ushalisahau?Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Wanafanana kwa kutokuwa na cheo, lakini kwa legacy wanatofautiana pakubwaYaani Bashe na Mpina now wanafanana
Wewe umeona mbali sana.Huyo na Nchimbi si walikuwa timu Lowasa?
Yeye na Nchimbi si ni damudamu?
Basi uwepo wake kwenye baraza huenda kungeimarisha timu Nchimbi.
Commonsense ni kuwa wapinzani wa Nchimbi hawawezi kumuimarisha kwa kumuwekea watu wake ndani ya baraza