Hussein Bashe
Member
- Oct 3, 2008
- 17
- 15
Wana Jf naomba nitumie nafasi hii kusema sina NIA,UTASHI WA KISIASA,kugombea jimbo la Igunga wala Jimbo lingine lolote Tanzania zaidi ya Jimbo la Nzega mungu akinifikisha salama 2015, reason nitakua nimesaliti wana nzega,nitakua nimeenda kinyume na dhamira yangu.Kwahiyo nisema hizi tetesi si za kweli na mwisho ni mwana siasa gani ambae atafanya kosa kama HILO? Kwetu nzega nitabaki nzega nitagombea nzega nitawatumikia wana nzega.Ninawatakia Heri wote watakaoenda kugombea Igunga.Mwisho nitoe angalizo kwa wana jamvi hapa hizi lugha za kikaburu,za kubaguana kwa rangi,dini nadhani si njema sana kwa Taifa letu inawezekana aneziandika hapa jamvini haoni madhara leo basi ipo siku italitafuna Taifa letu zimeanza kujitokeza naziona hapa jamvini,nazisikia midomoni mwa wana siasa na sasa zimeanza kwenda ktk nyumba za dini,nilizoea kwetu kijijini kabila hutajwa wakati wa utani lakini sasa naona miongoni mwa wasomi na viongozi zikitajwa kwa nia ya kutugawa nadhani TUNAPOTOKA.ipo siku tutawajibishwa. Nasisitiza SIGOMBEI IGUNGA.Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya taarifa, Bashe amepata ule wasaa aliokuwa akiutamani na ambao ulimponyoka bila yeye kutarajia-kuingia mjengoni. Vyanzo vinasema kuwa Rostam anahakikisha kuwa jimbo lile linarudi 'kwake' kupitia mtu wake wa karibu na ambaye kwa sasa ni ceo wa habari corporation. Mwenye masikio na akae mkao wa kula
Kweli mkuu kila baada ya paragraph Wazee wangu,Wazee wangu nikabaki najiuliza lini wazee wa Igunga walimzaa MuIran.
Wana Jf naomba nitumie nafasi hii kusema sina NIA,UTASHI WA KISIASA,kugombea jimbo la Igunga wala Jimbo lingine lolote Tanzania zaidi ya Jimbo la Nzega mungu akinifikisha salama 2015, reason nitakua nimesaliti wana nzega,nitakua nimeenda kinyume na dhamira yangu.Kwahiyo nisema hizi tetesi si za kweli na mwisho ni mwana siasa gani ambae atafanya kosa kama HILO? Kwetu nzega nitabaki nzega nitagombea nzega nitawatumikia wana nzega.Ninawatakia Heri wote watakaoenda kugombea Igunga.Mwisho nitoe angalizo kwa wana jamvi hapa hizi lugha za kikaburu,za kubaguana kwa rangi,dini nadhani si njema sana kwa Taifa letu inawezekana aneziandika hapa jamvini haoni madhara leo basi ipo siku italitafuna Taifa letu zimeanza kujitokeza naziona hapa jamvini,nazisikia midomoni mwa wana siasa na sasa zimeanza kwenda ktk nyumba za dini,nilizoea kwetu kijijini kabila hutajwa wakati wa utani lakini sasa naona miongoni mwa wasomi na viongozi zikitajwa kwa nia ya kutugawa nadhani TUNAPOTOKA.ipo siku tutawajibishwa. Nasisitiza SIGOMBEI IGUNGA.
Mkuu tunashukuru kusikia msimamo wako na kuwa muwazi hapa JF, lakini inanishangaza sana kuona wewe kama mmoja wa vijana tunaokutegemea, imekuwaje kuwa mstari wa mbele kushikamana na Rostam hasa wakati anajiuzuru kama sii kujenga majungu zaidi! Na hizi habari za rangi na Ukabila yamekukuta ukigombea Ubunge, leo bila kujifunza unakuwa mbele wakati chama chako kimekwisha amua kujivua magamba na Rostam ambaye hakubaliki unamtandikia red carpet!..Wana Jf naomba nitumie nafasi hii kusema sina NIA,UTASHI WA KISIASA,kugombea jimbo la Igunga wala Jimbo lingine lolote Tanzania zaidi ya Jimbo la Nzega mungu akinifikisha salama 2015, reason nitakua nimesaliti wana nzega,nitakua nimeenda kinyume na dhamira yangu.Kwahiyo nisema hizi tetesi si za kweli na mwisho ni mwana siasa gani ambae atafanya kosa kama HILO? Kwetu nzega nitabaki nzega nitagombea nzega nitawatumikia wana nzega.Ninawatakia Heri wote watakaoenda kugombea Igunga.Mwisho nitoe angalizo kwa wana jamvi hapa hizi lugha za kikaburu,za kubaguana kwa rangi,dini nadhani si njema sana kwa Taifa letu inawezekana aneziandika hapa jamvini haoni madhara leo basi ipo siku italitafuna Taifa letu zimeanza kujitokeza naziona hapa jamvini,nazisikia midomoni mwa wana siasa na sasa zimeanza kwenda ktk nyumba za dini,nilizoea kwetu kijijini kabila hutajwa wakati wa utani lakini sasa naona miongoni mwa wasomi na viongozi zikitajwa kwa nia ya kutugawa nadhani TUNAPOTOKA.ipo siku tutawajibishwa. Nasisitiza SIGOMBEI IGUNGA.
Mkuu tunashukuru kusikia msimamo wako na kuwa muwazi hapa JF, lakini inanishangaza sana kuona wewe kama mmoja wa vijana tunaokutegemea, imekuwaje kuwa mstari wa mbele kushikamana na Rostam hasa wakati anajiuzuru kama sii kujenga majungu zaidi! Na hizi habari za rangi na Ukabila yamekukuta ukigombea Ubunge, leo bila kujifunza unakuwa mbele wakati chama chako kimekwisha amua kujivua magamba na Rostam ambaye hakubaliki unamtandikia red carpet!..
Huoni kama unazidi kujipotezea nafasi ya kuaminiwa na wananchi, pamoja na yote ndani ya CCM watakuona wewe mnafiki? Mkuu Siasa ni mchezo mchafu inatakiwa uwe makini sana na sii kuonyesha emotions zako mahala ambapo viongozi wako wamefikia maamuzi ya kumwondoa. Rostam kaondolewa madarakani, alipewa barua na makamu mwenyekiti mzee Msekwa, hizi habari za kujiuzuru ni staha tu alopewa lakini lugha ilikuwa wazi kwamba asipojiuzuru chama kitamwondoa! haya wewe ndio kwanza huelewi!
Wana Jf naomba nitumie nafasi hii kusema sina NIA,UTASHI WA KISIASA,kugombea jimbo la Igunga wala Jimbo lingine lolote Tanzania zaidi ya Jimbo la Nzega mungu akinifikisha salama 2015, reason nitakua nimesaliti wana nzega,nitakua nimeenda kinyume na dhamira yangu.Kwahiyo nisema hizi tetesi si za kweli na mwisho ni mwana siasa gani ambae atafanya kosa kama HILO? Kwetu nzega nitabaki nzega nitagombea nzega nitawatumikia wana nzega.Ninawatakia Heri wote watakaoenda kugombea Igunga.Mwisho nitoe angalizo kwa wana jamvi hapa hizi lugha za kikaburu,za kubaguana kwa rangi,dini nadhani si njema sana kwa Taifa letu inawezekana aneziandika hapa jamvini haoni madhara leo basi ipo siku italitafuna Taifa letu zimeanza kujitokeza naziona hapa jamvini,nazisikia midomoni mwa wana siasa na sasa zimeanza kwenda ktk nyumba za dini,nilizoea kwetu kijijini kabila hutajwa wakati wa utani lakini sasa naona miongoni mwa wasomi na viongozi zikitajwa kwa nia ya kutugawa nadhani TUNAPOTOKA.ipo siku tutawajibishwa. Nasisitiza SIGOMBEI IGUNGA.
LINARUDI KWAKE KWA MASLAHI GANI? Sikubaliani na hoja hii.kwani kawekeza kitu gani kiasi kuwa akipata mpinzani kitaharibika? Nionavyo mimi ana hasira na yuko tayari kufinance mpinzani atwae jimboKwa mujibu wa vyanzo vyangu vya taarifa, Bashe amepata ule wasaa aliokuwa akiutamani na ambao ulimponyoka bila yeye kutarajia-kuingia mjengoni. Vyanzo vinasema kuwa Rostam anahakikisha kuwa jimbo lile linarudi 'kwake' kupitia mtu wake wa karibu na ambaye kwa sasa ni ceo wa habari corporation. Mwenye masikio na akae mkao wa kula
Kaka hapo umenena,ume reason intelligentlyBig up Bashe!! I salute u kwa hilo na kwa kuweka msimamo wako wazi. Umekomaa!
Magamba ana wake wawili mke mdogo yupo Arusha kapumzika kuna kamgogoro kidogo si unajua tena bi mdogo kwa wivuCCM hawatasimamisha mgombea Igunga ila watasawaidia wake zao CUF
Umeanzisha uzushi mwenyewe kakukana sasa unataka kuanzisha uzushi mwingine give him a breakbashe kuna majibu yanatakiwa humu. Mojawapo kama umeiva kisiasa kwa nini kutaka kumpora mwananzega mwenzio jimbo? Kwani umeambiwa watanzania wapo nzega tu? Au umeambiwa kigwangala hatagombea? Ni kipi ambacho watangulizi wako walishindwa kuwapa wananzega ambacho wewe unacho?
Magamba ana wake wawili mke mdogo yupo Arusha kapumzika kuna kamgogoro kidogo si unajua tena bi mdogo kwa wivu
Siasa uchwara.Magamba ana wake wawili mke mdogo yupo Arusha kapumzika kuna kamgogoro kidogo si unajua tena bi mdogo kwa wivu
Kijana mbona unaleta mambo ya Kitchen Party! Bashe kakukana na umbea wako, saizi umeamia kwa Selelii, JF, sio sehemu ya porojoLabda na selelii nae anaweza kuibukia huko. Tutashuhudia kambi mbili za ccm za 6 na abdulrasul kwa upande mmoja na upinzani kwa upande wa pili. Tusubirie filamu kama lile la tmk enzi za cisco