Bashe ajibu mashambulizi ya Nape Nnauye

Bashe ajibu mashambulizi ya Nape Nnauye

Captain Phillip

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
894
Reaction score
538
Wadau,

Nimetumiwa meseji na rafiki kuwa Bashe anahojiwa Clouds FM kujibu mashambulizi ya Nape juzi...Mwenye access na hiyo redio tafadhali tuambie amejadili kitu gani.Hii redio wengine tulishaipa ban kwenye redio za Vebebiwoka vyetu.

Natanguliza shukran

Kada wa CCM Hussein Bashe ameshauri Nape Nnauye aachie ngazi ya Katibu wa Uenezi Taifa kwa vile anatumika kumshambulia Lowassa kwa maslahi ya mgombea mwingine ambaye amemwahidi kumuachia jimbo lake na tayari ameshakwenda kumnadi Nape kuwa ndiyo mrithi wake.

Akihojiwa redioni Bashe kasema Nape amekuwa akitumia nafasi yake nje ya utaratibu kumhujumu Lowassa mara kadhaa ili kumnufaisha mtu wake ili aweze kuteuliwa na chama kupeperusha bendera naye aweze kupata nafasi itakayo achwa wazi na huyo mtu kugombea Ubunge.

Kwa maelezo ya Bashe ni kuwa Nape amesha kosa maadili ya kuendelea kuwa mjumbe wa secretarieti ya chama ambaye alipaswa kuwa anafanya kazi zake kwa uadilifu na neutral.

Chanzo; Mahojiano redioni asubuhi hii.
 
amesema nape ni muda wake sasa kuachia cheo chake na kutoka hadharan kumpigia kampeni mgombea wake alieahid kumuachia jimbo..kwa maana anachokifanya sasa ni kutumia genge lake kufanya upendeleo kwa mgombea wake na kubana wengine kupitia cheo chake
 
Wadau,

Nimetumiwa meseji na rafiki kuwa Bashe anahojiwa Clouds FM kujibu mashambulizi ya Nape juzi...Mwenye access na hiyo redio tafadhali tuambie amejadili kitu gani.Hii redio wengine tulishaipa ban kwenye redio za Vebebiwoka vyetu.

Natanguliza shukran

Mkuu unafahamu ulichokiandika au umetoka usingizini... Hebu rudia kusoma halafu ujielewe kwanza wewe ndo na sisi tukueleweshe..
 
Wakasemeane vikanoni huko. . . .huyo anayedaiwa kuchafuliwa sijui kuhujumiwa ana nguvu kuliko huyo msemaji. . . . .
 
Amesema Nape ni wa kupuuza maana ni mnafiki. Akasema hata Nape 2005 aliahidi kuwa Kikwete akiwa Rais basi atahama nchi jambo ambalo hakutimiza na huruma ya Rais akampa Ukuu wa wilaya Masasi, Na mpaka sasa ana cheo kikubwa ndani ya CCM.

Pia akasema kuwa Nape alikuwa akihama hama kwa Tatu bora wa Urais 2005 ambaye ni Kikwete,Mwandosya na mwingine nimemsahau.

Kweli huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono.
 
Kada wa CCM Hussein Bashe ameshauri Nape Nnauye aachie ngazi ya Katibu wa Uenezi Taifa kwa vile anatumika kumshambulia Lowassa kwa maslahi ya mgombea mwingine ambaye amemwahidi kumuachia jimbo lake na tayari ameshakwenda kumnadi Nape kuwa ndiyo mrithi wake.

Akihojiwa redioni Bashe kasema Nape amekuwa akitumia nafasi yake nje ya utaratibu kumhujumu Lowassa mara kadhaa ili kumnufaisha mtu wake ili aweze kuteuliwa na chama kupeperusha bendera naye aweze kupata nafasi itakayo achwa wazi na huyo mtu kugombea Ubunge.

Kwa maelezo ya Bashe ni kuwa Nape amesha kosa maadili ya kuendelea kuwa mjumbe wa secretarieti ya chama ambaye alipaswa kuwa anafanya kazi zake kwa uadilifu na neutral.

Chanzo; Mahojiano redioni asubuhi hii.
Alaa kumbe- conflict of interest ndiyo maana
 
Mwaka huu vigogo wa CCM watalogana mpaka basi. CCM wamechoka mbaya, kila mmoja anamjibu mwenzake kupitia vyombo vya habari. Soon Nape atajibu na kusema Bashe ni msomali wa Mogadishu.
 
Kuna aliesema CCM wanaeuka na kukanyagana kumbe kila mmoja ndani ya hiki chama anatetea tumbo hakuna mwadirifu. Nasubiri nione surprise mnayokuja nayo

Hivi kwa nini huwa baadhi yenu mnadhani mnawafahamu watu mitandaoni???!!!

Hebu kajisomee "Ideological Hegemony" labda unaweza kuwa mchangiaji bora. . . .
 
Mkuu unafahamu ulichokiandika au umetoka usingizini... Hebu rudia kusoma halafu ujielewe kwanza wewe ndo na sisi tukueleweshe..

Tatizo lako wewe pia sijui Team pinda unajifanya hueleewi.
We tuondolee shida nini sasa hapo hujaelewa.
 
Wadau,

Nimetumiwa meseji na rafiki kuwa Bashe anahojiwa Clouds FM kujibu mashambulizi ya Nape juzi...Mwenye access na hiyo redio tafadhali tuambie amejadili kitu gani.Hii redio wengine tulishaipa ban kwenye redio za Vebebiwoka vyetu.

Natanguliza shukran
Mimi nimemsikia vizuri, lakini huyu dogo Bashe hana akili.
Badala ya kukishambulia chama chake anamshabulia Nape personally.
Nafikiri mtu anaweza kuwa na nafasi nzuri tu katika jamii lakini kichwani hamna kitu.
Kushindwa kupambanua tofauti ya tamko la Nape kama Katibu Mwenezi wa CCM na Nape kama mtu binafsi ni upungufu mkubwa wa akili.
 
Amesema Nape ni wa kupuuza maana ni mnafiki. Akasema hata Nape 2005 aliahidi kuwa Kikwete akiwa Rais basi atahama nchi jambo ambalo hakutimiza na huruma ya Rais akampa Ukuu wa wilaya Masasi, Na mpaka sasa ana cheo kikubwa ndani ya CCM.

Pia akasema kuwa Nape alikuwa akihama hama kwa Tatu bora wa Urais 2005 ambaye ni Kikwete,Mwandosya na mwingine nimemsahau.

Kweli huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono.

hivi nape bado ni mkuu wa wilaya masasi?
 
Mimi nimemsikia vizuri, lakini huyu dogo Bashe hana akili.
Badala ya kukishambulia chama chake anamshabulia Nape personally.
Nafikiri mtu anaweza kuwa na nafasi nzuri tu katika jamii lakini kichwani hamna kitu.
Kushindwa kupambanua tofauti ya tamko la Nape kama Katibu Mwenezi wa CCM na Nape kama mtu binafsi ni upungufu mkubwa wa akili.

Kwa staili hii nyie magamba ni lazima muuane mwaka huu, hakuna salama!! Mmelishana SUMU haikutosha na sasa mnakwenda kwa masangoma na hiyo ikishindikana ,shaba lazima zitatembea!!
 
Back
Top Bottom