lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
inawezekana ni kweli maana anachoongea NAPE uwa simuelewi hata kidogo. maana kazi yake ni kuwapiga vita wenzake bila ya sababu mfano EL anakubalika na kila mtanzania lakini kwa kuwa NAPE ana mtu wake sijui atakua yule bwana wa bagamoyo au mtoto wa mkulima basi imekua shida kwa EL.