Nape Nnauye atiwa kikaangoni.
Anaitwa Comical Nape (Nape mchekeshaji)
Nape Nnauye atiwa kikaangoni.
Mkuu ni kujidanganya kufikiri Nape alikurupuka kusema aliyosema.Ndg Yangu huko Sahihi 100%, Lakini Unasahau ya kwamba Bashe Hawezi Kukisema Vibaya Chama ambacho Mgombea wake Edward Lowassa anategemea Kupeperusha bendera.
Kumshambulia Nape Itaonyesha Kuwa Kumbe Yaliyosemwa na Nape ni Personnal na Sio Msimamo wa Chama. Bashe anajaribu Kuneutralize Na Kutoonyesha Madhaifu Yaliyopa CCM.
Kimsingi Kwa sasa Ndani ya CCM wanachezeana Rafu za waziwazi wala Hakuna lolote wala Chochote Kuhusu Lowassa eti amekiuka Taratibu za Chama.
Mkuu mbona you are beating around the bush!!!Bro hujamuelewa Bashe! Yes kuna cheo na kuna NAPE! Ila aliyeshikilia hicho cheo cha KATIBU Mwenezi ni NAPE by now! Kosa kubwa ni kukosa sifa kuu mbili yeye kama Katibu Mwenezi wa chama
1) Impartiality
2) Leadership credibility
Ndani ya CCM watu walioanza kampeni za chinichini ni wengi, lakini NAPE yuko busy na LOWASA tu kila uchao. Makosa ya makada wengine ya kuanza kampeni mapema NAPE hayaoni! NAPE ameshindwa kuwa impartial(fair) katika kuwadhibiti makada wanakwenda kinyume na taratibu za chama.
Katika cheo cha KATIBU MWENEZI wa CHAMA, NAPE alipaswa kuwa CREDIBLE LEADER mwenye KUAMINIKA kwa makada na wanachama wote wa CCM! Sivyo alivyo! Ni dhahiri kwamba kuna makada ambao NAPE anawatumikia! Hili halihitaji maelezo ya ziada.....lipo wazi!
CCM iko imara, tunabishana lakini hatupigani kama nyie.Kwa staili hii nyie magamba ni lazima muuane mwaka huu, hakuna salama!! Mmelishana SUMU haikutosha na sasa mnakwenda kwa masangoma na hiyo ikishindikana ,shaba lazima zitatembea!!
Hiko cheo hakuna alowahi kukishika na akafanya vizuri tangu nianze kupata akili na kufatilia politics,mnamkumbuka MAuPURI?Bro hujamuelewa Bashe! Yes kuna cheo na kuna NAPE! Ila aliyeshikilia hicho cheo cha KATIBU Mwenezi ni NAPE by now! Kosa kubwa ni kukosa sifa kuu mbili yeye kama Katibu Mwenezi wa chama
1) Impartiality
2) Leadership credibility
Ndani ya CCM watu walioanza kampeni za chinichini ni wengi, lakini NAPE yuko busy na LOWASA tu kila uchao. Makosa ya makada wengine ya kuanza kampeni mapema NAPE hayaoni! NAPE ameshindwa kuwa impartial(fair) katika kuwadhibiti makada wanakwenda kinyume na taratibu za chama.
Katika cheo cha KATIBU MWENEZI wa CHAMA, NAPE alipaswa kuwa CREDIBLE LEADER mwenye KUAMINIKA kwa makada na wanachama wote wa CCM! Sivyo alivyo! Ni dhahiri kwamba kuna makada ambao NAPE anawatumikia! Hili halihitaji maelezo ya ziada.....lipo wazi!
Wakasemeane vikanoni huko. . . .huyo anayedaiwa kuchafuliwa sijui kuhujumiwa ana nguvu kuliko huyo msemaji. . . . .
Wadau,
Nimetumiwa meseji na rafiki kuwa Bashe anahojiwa Clouds FM kujibu mashambulizi ya Nape juzi...Mwenye access na hiyo redio tafadhali tuambie amejadili kitu gani.Hii redio wengine tulishaipa ban kwenye redio za Vebebiwoka vyetu.
Natanguliza shukran
Mkuu unafahamu ulichokiandika au umetoka usingizini... Hebu rudia kusoma halafu ujielewe kwanza wewe ndo na sisi tukueleweshe..
CCM iko imara, tunabishana lakini hatupigani kama nyie.
Mwisho wa siku rais atatoka CCM.
Nape kuna sehemu alijikwaa, lakini bado ana nafasi ya kurudi nyuma akajirekebisha na kusonga mbele!
Ni Kweli Mkuu, ila Lissu amebobea zaidi katika fani ya uropokaji, Nape anamfuata kwa mbaaaaali!!Nape hana tofauti na mjomba wake Tundu Lissu
Nape hana tofauti na mjomba wake Tundu Lissu
Mimi nimemsikia vizuri, lakini huyu dogo Bashe hana akili.
Badala ya kukishambulia chama chake anamshabulia Nape personally.
Nafikiri mtu anaweza kuwa na nafasi nzuri tu katika jamii lakini kichwani hamna kitu.
Kushindwa kupambanua tofauti ya tamko la Nape kama Katibu Mwenezi wa CCM na Nape kama mtu binafsi ni upungufu mkubwa wa akili.