Bravius
Member
- Oct 3, 2014
- 23
- 8
Habarini ndugu zangu wa Jamii forum.. Mm nahitaji kufanya biashara ya Suzuki carrier kwa huku kigamboni (Dsm) 1.Nahitaji kujua bei yake ikiwa mpya.
2.Na kwa siku mapato yake yako vipi??
3.Na hasara au faida yake. Kwa sababu bado cna uzoefu na biashara hii. Naamini mtanipa mawazo na hoja
Natanguliza shukran zangu za dhat.......
2.Na kwa siku mapato yake yako vipi??
3.Na hasara au faida yake. Kwa sababu bado cna uzoefu na biashara hii. Naamini mtanipa mawazo na hoja
Natanguliza shukran zangu za dhat.......