swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,903
Usisahau kuwa nipo.chunga domo lako.Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
Swissme
Usisahau kuwa nipo.chunga domo lako.Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
View attachment 282612Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) ambalo lipo kisheria, majuzi lilimhukumu msanii Shilole asijihusishe na masuala ya sanaa kwa mwaka mmoja kutokana na kukiuka taratibu zilizowekwa na kuvunja maadili. Hivi tunapozungumza msanii huyo yuko kwenye adhabu hiyo.
Lakini jambo la ajabu ni kuwa CCM pamoja na kufahamu adhabu hiyo wao wameidharau na kumchukua Shilole ili aambatane na mgombea wao wa Urais na kupanda majukwaani kushiriki shughuli za muziki kinyume na adhabu yake. Jee hiyo sio dharau kwa mamlaka iliyotoa adhabu?
Basata nao kama jambo hilo lingefanywa na wengine wangekaa kimya kama walivyo sasa?
Nadhani sasa wasanii na watu wengine waelewe kuwa adhabu zinazotolewa na mabaraza haya ni za magazetini tuu hivyo hakuna haja ya kuziheshimu wao waendelee na mambo yao tuu.
Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
Kutuhumiwa ni jambo moja na kuhukumiwa ni jambo lingine. Huyo dada kahukumiwa na mamlaka, huyo unayemsema wewe umemtuhumu. au hujui kutofautisha haya mambo?Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
Kuna popote alipewa adhabu..??Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
Kama lakwako lilivyochoka unaweza hata ukalionaNyani haoni kundule.
Nyani haoni kundule.