BASATA na adhabu ya Shilole

BASATA na adhabu ya Shilole

Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
Ni vema ukaiweka akili yako na kuwa sawa kama binadamu aliyekamilika kuliko kujishushia hadhi kwa kuandika ujinga, ulichokiweka ni tofauti kabisa na mada husika Tambua kuwa shilole alihukumiwa sasa unapokuja na suala la Lowasa unaonekana kabisa ni mtu usiye na akili hata chembe kwani hakuna Mahakama au sehemu yeyote ndani na nje ya nchi hii ambapo Lowasa aliwahi kushitakiwa.
 
Mimi ni mmoja wa watu niliye huzuria mkutano wa kufuli ili kucheki wasanii tu. wala sikuwa na nia ya kusikiliza propaganda za Fisiccm, ila mwaka huu ccm ilafuye yaani isha kufa kila mtu niliyekuwa naongea naye pale anajibu kura ni Lowasa tu,.... mabadiliko tu....kama ni kuteswa na fisiccm tumeibiwa vya kutosha sasa kazi ni moja ni mabadiliko tu.. tuweke chama kingine sio kilasiku ccm tu ndo waibe bora tuweke na wengine;;

Mabilioni ya kununua wasanii,kununua TWAWEZA,kupambana na UKAWA ,kusafilisha wasanii yapo lakini Dawa hosptali leo hakuna ..watu wanakufa kwa kukosa dawa,,,mikataba mibovu,escrow,wezi wa ges na mafuta, mabehewa feki,barabara mbovu, Bilion 256 za barabara hewa,

#####bila kumung'unya maneno watanzania tuseme imetosha ni lazima tumwondoe mkoloni mweusi Fisiccm bila huruma##############
 
ni uthibitisho kuwa CCM ipo juu kuliko BASATA.
haikuwa mwenye hizo kampeni tu, alienda mpaka marekani kupiga show.
 
CCM hwa wanatenda kinyume, wakiahidi maisha bora wanawapa wananchi maisha magumu ... CCM haiaminiki ,..
 
Hata kabla ya mwezi kuisha shilole ameanza kuimba nyimbo za Magufuli swali nyimbo zake nani kazifungulia??
 
Hiyo ndio Tanzania ya ccm basata hawana la kusema chama kina nguvu kuliko taasisi ya serikali iliyopo kisheria
 
Kwani we ujui kama hata ukiendesha ukiwa umelewa kama una bendera ya chama cha mafisadi unaachwa??😈
 
Back
Top Bottom