Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,477
- Thread starter
- #21
Shukrani mkuu kwa marekebisho šHii ni mpya kidogo kwangu hebu lete hii simulizi mkuu tuone iliwezekanaje.
NB: Nakukumbusha jina Yesu ni nomino kwahiyo unapoliandika jitahidi uwe unaanza na herufi kubwa. Asante.
Nikipata wasaa ntaileta hapa na ntakutag