Kweli kabisa!! Na hicho ndichi Zitto alichofanya. Halafu hpa ndani mijitu inampongeza tu bila hata kuthink big
Kimbunga shirikisha ubongo unapoandika. KDI ni kigoma Devp Initiative na sio Zito Devp Initiative. Zito yeye ni founder member tu wa hiyo NGO kwa hiyo anakuwa ni Board members na sio mtendaji mkuu. Siku zote wanayefaidi katika NGO ni watendaji na walengwa na sio Board members na hata kama hiyo NGO ni ya Zito Kama vission na mission zake ni kuleta maendeleo kwa watu wa kigoma kwa vitendo na yakatelezeka we hv no querry abt him. Congrat Zito
hamna cha wafuasi wa nani na nani (hapa pana wafuasi wa hoja na si mtu) hapa ni kwamba Zitto anastahili pongezi.Binafsi namtiliaga sana Zitto ila kwa hili kanikoshaTall order for CDM MPs to follow suit! Hongera Mkuu, ila naona umewatega wenzako wakina Mbowe.....watakuwa wanakulaani chinichini!
Umepiga bao la kisigino! Tuone wafuasi wao watasema nini leo!
Hapa nakumbuka msimamo wa Chama wa kutoka nje wakati JK anahutubia Bunge, ZZK akaja na msimamo wake wa kupingana na Chama. Acha kuturudisha nyuma Zito ni binadamu kama wengine aliona mapungufu na sasa ameamua kurudi kwenye dhamira yake ya kweli na chama pia ya kumpigania mtz mnyonge na ndio kama umesoma vizuri amesema huo ni uamuzi wake binafsi na chama pia.kuna tofauti kubwa sana kati ya magamba na Cdm.
Sioni mantiki yoyote kwa hili. Posho ni haki yake. Jimbo kwake kuna matatizo kibao ya huduma za wananchi. Angeweza kutangaza kuwa anaelekeza posho hizo kwenye huduma za jamii jimboni kwake. Hivi kumgekuwa na ubaya gani kama angeeleza posho hizo hospitali ya jimbo lake? Asilewe sifa ingawa ana ubora.
CDM na magamba vimetoka wapi tena hapa wakati tunajadili hoja ya kukataa posho. Hapa ndipo huwa watu humu ndani mnapotoka. Badala ya kujadili hoja unakimbilia kulinganisha vyama. Jadili hoja Mwanaharakat. Msimamo wa Chama uko wapi? Mapendekezo ya Budget ya CHADEMA ni kuondoa posho.Hapa nakumbuka msimamo wa Chama wa kutoka nje wakati JK anahutubia Bunge, ZZK akaja na msimamo wake wa kupingana na Chama. Acha kuturudisha nyuma Zito ni binadamu kama wengine aliona mapungufu na sasa ameamua kurudi kwenye dhamira yake ya kweli na chama pia ya kumpigania mtz mnyonge na ndio kama umesoma vizuri amesema huo ni uamuzi wake binafsi na chama pia.kuna tofauti kubwa sana kati ya magamba na Cdm.
Mwanaharakati Mwanamapinduzi;Kimbunga shirikisha ubongo unapoandika. KDI ni kigoma Devp Initiative na sio Zito Devp Initiative. Zito yeye ni founder member tu wa hiyo NGO kwa hiyo anakuwa ni Board members na sio mtendaji mkuu. Siku zote wanayefaidi katika NGO ni watendaji na walengwa na sio Board members na hata kama hiyo NGO ni ya Zito Kama vission na mission zake ni kuleta maendeleo kwa watu wa kigoma kwa vitendo na yakatelezeka we hv no querry abt him. Congrat Zito
Mwanaharakati Mwanamapinduzi;
Big -up kwa saaana!. Your reasoning is very correct as well as rational. Endelea kuturekebisha kimawazo. Yaani mtu anafikiria Zitto akishiriki kuanzisha NGO ndiyo imekuwa ya nyumbani kwake?
Kimbunga ni vyema ukafahamu kuna aina mbili za nyuki wapo wanaouma na wasiouma ijapokuwa wote wanatoa asali. mpango wa kuanzisha NGO na DF ni dhamira ya kweli ya wabunge wa CDM ili kuleta maendeleo katika majimbo yao na sio KDI tu ipo pia ArDF ya Arusha ambayo mpaka sasa inasomesha wanafunzi 400 wasiojiweza.Mwanaharakat unazijua vizuri NGO za nchi hii? Unajua NGO za nchi hii zinavyoendeshwa? Unajua utitiri wa NGO viwavi hapa nchini? Nimeshirikisha ubongo wangu.
Kimbunga Tufani;Mwanaharakat unazijua vizuri NGO za nchi hii? Unajua NGO za nchi hii zinavyoendeshwa? Unajua utitiri wa NGO viwavi hapa nchini? Nimeshirikisha ubongo wangu.
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuiomba isimamishe kumlipa posho zake zinazotokana na vikao vya Bunge kuanzia juzi. Zitto ametoa ombi hilo kwa barua rasmi aliyoiwakilisha kwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah Juni 7 mwaka huu.
Kimbunga ni vyema ukafahamu kuna aina mbili za nyuki wapo wanaouma na wasiouma ijapokuwa wote wanatoa asali. mpango wa kuanzisha NGO na DF ni dhamira ya kweli ya wabunge wa CDM ili kuleta maendeleo katika majimbo yao na sio KDI tu ipo pia ArDF ya Arusha ambayo mpaka sasa inasomesha wanafunzi 400 wasiojiweza.
BINAFSI NATOA PONGEZI ZANGU STAHILI.......(ANGALIZO) KAMA ALIPOELEKEZA ZIPELEKWE KWELI IKAWA NI NGO YAKE BINAFSI (hiyo ni sarkasi katuchezea) SI SAHIHI SANA.....! BALI NINGEMWELEWA ANGEPELEKA KATIKA TAASISI AMBAZO HANA MKONO WAKE KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE!
TUHESHIMU MCHANGO WAKE NA PIA LOLOTE AMBALO AENDA KINYUME TUWE KINYUME NALO