Mbona Zitto tu? Wako wapi makamanda wengine? Mtema, Mnyika, Lissu, Lema, Weche, Shibuda, Kamanda Mkuu Mbowe, n.k jitokezeni basi mzikatae hizo posho. Au inawezekana Zitto amendika barua kwa niaba ya Chama kama Naibu Katibu Mkuu. Kama ni barua binafsi basi Chama kikae kione msimamo wa Chama kama Taasisi isiwe suala la mtu binafsi.
why now?????????????/
Zitto ana akili sana, nani mzalendo wa kweli.
Ndio mkuu ukweli husimama milele...hongera Zitto leo wanakula matapishi yao.!Ukweli na uwazi utakuweka huru
Mkuu kukusaidia, hoja ya kufutwa Kwa Posho ilikuwa ya Kambi Rasmi ya Upinzani?na Ilikataliwa na Hata Mhe . ZZK alijibiwa Hiyo barua kwamba haiwezekeni na hivyo akaagizwa posho zake Ziwe zinaenda Kigoma Mkuu , Sasa wanakula matapishi yapi?Leo wapinzani wanakula matapishi ya Zitto.
Mkuu kukusaidia, hoja ya kufutwa Kwa Posho ilikuwa ya Kambi Rasmi ya Upinzani?na Ilikataliwa na Hata Mhe . ZZK alijibiwa Hiyo barua kwamba haiwezekeni na hivyo akaagizwa posho zake Ziwe zinaenda Kigoma Mkuu , Sasa wanakula matapishi yapi?
Mkuu acha sanaa, kama ilikuwa hoja ya KUB iweje barua apewe Zitto peke yake, nenda YouTube uone kama ilikuwa hoja ya Kambi rasmi ya Upinzani.
Hizo ndio nyakati tuhuma za usaliti wa Zitto ndani ya Chadema zikiwa zimepamba moto. Hivyo alikuwa hana uungwaji mkono toka kwenye chama chake kwa namna yoyote ile
Mkuu tafuta barua ya Bunge , baada ya Kugoma Kwa Serikali Ndio Mhe. ZZK akiandika , tafuta majibu ya Hiyo barua yako humu humu JF
Mkuu zitto, ana maono mazitoLeo wale wake ndio wa kwanza kuunga mkono hoja ya 2011.!
Hongera Zitto.!
Why not.Why now????? Kwa UKAWA
Weeeeee nani ajitokeze? Hapo ndipo ilipoanza slogan ya usaliti. Zitto akaitwa msaliti. Mbowe alijaribu akarudisha gari rasmi la KUB lakini baada ya siku tatu alitwaa tena kimya kimya.Mkuu je walijitokeza kuungana za Zito, iweje leo.?
Mzeee shika jembe ukalime!! Nani aongelee posho?Haya ndio mambo Neema Lugangira anapaswa kuongelea
Analipwa kwa kodi za wanaoshika jembe kulimaMzeee shika jembe ukalime!! Nani aongelee posho?
Pole mkuu, Chadema wapo kimslahi leo baada ya kukosa ubunge ndio wanaongelea maslahi ya wabunge. MatapeliGood move Zitto na kuongeza credibility cdm nzima individually not as a team wazikatae then wazielekeze somewhere ili watu waone faida yake.