Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
ile barua (kama kweli ipo) itakuwa imeandikwa ku-manage backlash.Yawezekana Ewura Ina Nguvu Kuliko Waziri. Hivyo Wanajua Soon Tamko Litapuuzwa
Huenda hii barua ikawa ni fake na kama sio fake basi mwandishi arudi shule kujifunza uandishi wa barua za kikazi.We umeshawahi kuona wapi ishu ya kimamlaka inaakuwa-adressed kwa mtu badala ya mamlaka,taasisi
Barua imejaa makosa hatari na cc kwa Rais. Dunia nzima wanatushangaa tunapoandika barua mbovu kama hizo halafu tunaziweka kwenye mtandao. Utadhani tumepata uhuru leo. Inasikitisha sanaHuenda hii barua ikawa ni fake na kama sio fake basi mwandishi arudi shule kujifunza uandishi wa barua za kikazi.
Tangazo limetoka saa mbili usiku,hata TV zingine zimeshindwa kurusha,magazeti mengi yanaingia mitamboni kuanzia saa12Nimeshanga sana kuona magazeti karibu yote yakiwemo ya serikali na lile la chama hayajaandika chochote kuhusu uamuzi waziri Muhongo kuipiga 'stop' EWURA kupandisha bei ya umeme.
Katika magazeti yote niliyopitia,ni gazeti la TanzanuaDaima tu ndio limeandika hii habari wakati hata magazeti ya serikali ya Sunday news na HabariLeo pamoja ni lile la chama(Uhuru) hayajaandika chochote kuhusu uamuzi huu.
Magazeti ya MTANZANIA na JAMUHURI ndio sijayaona labda haya ndio yanaweza kuwa yameandika kuhusu hii habari.
Maswali:
Inawezekana barua hii ilitoka muda ambao magazeti mengi yalishaanza kuchapishwa hivyo ikawa vigumu habari kuandika na magazeti mengi ya leo?
Au Wahariri wameona hii habari sio muhimu?
Inawezekana kweli hii habari isiwe muhimu kwa wahariri hawa?
Au wadau hii barua ni fake?