The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
Mwambie akuje fasta nimechoka mie mume wa kazi gani mabachela kibao
eti bana.....maziwa kila kona mpaka Tanga yanapatikana....ufuge ng'ombe wa nini.....
Katibu Mukhtasi kinini kimekusibu bibie? Bishanga mimi nawe tunaheshimiana SANA naomba nipe sababu ya shem The secretary kuomba talaka. Funguka bhana halafu usidhani alivyotoka kwao alikosa msosi wala pa kulala, Ohoo!
It's OK!! But what real happened??????
The secretary, p.o.box 1, CHIT CHAT. Mwenyekiti wa mahusiano p.o.box 2, jamiiforum. Ndugu, YAH: OMBI LA TALAKA husika na kichwa tajwa hapo juu,mimi The secretary MziziMkavu naomba kuachana na mume wangu Bishanga Bishaija kwa sababu zisizoweza kuzuilika. natumai ombi langu litafanyiwa nidful. mapendo daima THE SECRETARY
kwanza kabisa kamati tunataka kujua hizo sababu ili tuweze kuzijadili
Mwambie akuje fasta nimechoka mie mume wa kazi gani mabachela kibao
Soma PM yangu Pulizi, nimeombapo unifikiriepo kuchukuwa hako kanafasi ka Mzee mwenzangu Bishanga.........