barua ya wazi ya kuomba talaka

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
The secretary, p.o.box 1, CHIT CHAT. Mwenyekiti wa mahusiano p.o.box 2, jamiiforum. Ndugu, YAH: OMBI LA TALAKA husika na kichwa tajwa hapo juu,mimi The secretary MziziMkavu naomba kuachana na mume wangu Bishanga Bishaija kwa sababu zisizoweza kuzuilika. natumai ombi langu litafanyiwa nidful. mapendo daima THE SECRETARY
 
Katibu Mukhtasi kinini kimekusibu bibie? Bishanga mimi nawe tunaheshimiana SANA naomba nipe sababu ya shem The secretary kuomba talaka. Funguka bhana halafu usidhani alivyotoka kwao alikosa msosi wala pa kulala, Ohoo!
 
Last edited by a moderator:
naona timbwili la Asha Ndegere na Fatuma Ndala Ndefu limeanza...
 
The secretary, p.o.box 1, CHIT CHAT. Mwenyekiti wa mahusiano p.o.box 2, jamiiforum. Ndugu, YAH: OMBI LA TALAKA husika na kichwa tajwa hapo juu,mimi The secretary MziziMkavu naomba kuachana na mume wangu Bishanga Bishaija kwa sababu zisizoweza kuzuilika. natumai ombi langu litafanyiwa nidful. mapendo daima THE SECRETARY

Nimekusoma The secretary , nakupongeza kwa kufuata taratibu ipasavyo.Nimeipitisha barua yako kama ulivyoomba nimei foward kwenda kwa wanasheria Judgement Ruttashobolwa na bibie Kipipi (ambaye uteuzi wake umeanza rasmi leo) kwa ajili ya kukuandalia mwenendo mzima wa kisheria kuhusiana na suala lako
 
Last edited by a moderator:
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom