Barua Ya Wazi: Mh. Pinda lazima uwajibike la sivyo utamponza Rais

Huyo "mmojawapo" ndiye Pinda

Kwa hili swala Pinda ameshiriki moja kwa moja.

Kuwajibika kwa hili la operesheni tokomeza na kauli yake ya 'wapigwe tu' ni stahiki yake.

Anatakiwa awajibike kwa makosa yake mwenyewe bila hata kujali collective responsibility
 
Mkuu kwani wewe ni mgeni humu? CCM wanasera yao ya kuwabagua wachagga! Bora tuijadili kwa kina ili kesho na kesho kutwa wasije wakawatupia lawama wasiohusika...

Hapo nimekuelewa Mkuu; hiyo ni lugha ya magamba
 
Mkuu kwani wewe ni mgeni humu? CCM wanasera yao ya kuwabagua wachagga! Bora tuijadili kwa kina ili kesho na kesho kutwa wasije wakawatupia lawama wasiohusika...

Hapo nimekuelewa Mkuu; ni lugha ya magamba
 
Unajua wajinga hujisifu kwa kile ambacho hawakufanya kinyume na welevu ambao hujutia. PM alipaswa ajutie kutojihuzuru hasa wakati wa sakata la tokomeza, ni aibu kujisifu eti ikuku pale amekaa miaka zaidi ya 40, umekaa kuangalia tausi nalo unatamka bungeni???
Mtu mzima unaleta hoja ya waziri mkuu kujiudhuru kana kwamba wewe ndiye uliyemteua, na kana kwamba wewe ndiye mtsnzanix peke yako. Watz tulio wengi tunsmpenda sana tena sana. Achana na WM wetu. mwambie mbowe makengeza ajiudhuru kwanza yeye.
 
Kweli kabisa, unajua viongozi wetu hujisifia kuwa na uzoefu Wa muda mrefu serikalini lakini ukiwauliza wamawafanyia nini wananchi sana sana watakuambia kwenye uchaguzi niliwanunukia t-shirt na niliwalisha pilau!
 
Mtu mzima unaleta hoja ya waziri mkuu kujiudhuru kana kwamba wewe ndiye uliyemteua, na kana kwamba wewe ndiye mtsnzanix peke yako. Watz tulio wengi tunsmpenda sana tena sana. Achana na WM wetu. mwambie mbowe makengeza ajiudhuru kwanza yeye.

Nadhani katika Watu wazima hovyo we ni mmojawao.

Unadhani ukimpenda mtu ndio anafaa kuwa kiongozi Wa Watu!

Mbona baba yako unampenda lakini hajawahi kuwa waziri Mkuu?
 
Vijana wa CCM wanaongelea kupenda, sio uwezo wa kazi husika, kweli CCM haina dira, sio mimi ni Kolimba huyo msije nikolimba maana hamna dogo, hata kusema ukweli tu mtu anawekwa kitimoto hadi mauti inamkuta
 
CCM inayo dira; Dira Yake ni ufisadi.

Ndio maana hata sasa hivi unaona harakati za fisadi Mkuu kuwania madaraka ya urais ndani ya CCM 2015.
 
Back
Top Bottom