Barua Ya Wazi: Mh. Pinda lazima uwajibike la sivyo utamponza Rais

Msije mkamfanya mtoto wa mkulima akaporomosha michozi tena bungeni japo kiukweli anapaswa kujiuzulu, pia rais wetu amekuwa busy mno na safari za nje huenda hatukuchagua rais isipokuwa tumechagua mtalii, wewe mtu gani kila leo anatembeza bakuli kuomba, mimi nilifikiri wagogo ndo wanatabia hiyo kumbe wakwere ni funga kazi aisee!

rais wetu ni mgonjwa,kwa hyo ni haki yake kwenda kupata matibabu nje maana hospitali zetu kitanda kimoja watu wanne
 
Hapa ndo najiulizaga hivi kuna uchawi kweli ule uchawi wa ukweli wallah mimi ningekuwa mchawi hawa nashusha mabusha mafisadi woote sijui mawaziri na viongozi woote wabadhirifu wa mali za uma na wakila chakula kinadondoka tungeona kama kuna kiongozi angekuwa anafanya mchezo na mali za umma manake wametufanya watumwa kwenye nchi yetu yaani nina uchungu na hawa wachumia tumbo hawa unakuta limtu limesababisha maelfu ya watu wamekosa huduma za afya, maji, elimu mtu aliesababisha yote hayo bado liipo tu kwenye hiyo nafasi utafikiri alizaliwa nayo wakiambiwa wajiuzulu wanaongea kama wamemeza betri sijui hii jeuri wanaipatia wapi wakati sisi wanachi ndio tulioungua jua na kunyeshewa mvua kwa sababu yao halafu leo wanatuletea dharau 2015 sio mbali tutaonana.
 
Lowasa aliachia kwa makosa ya JK, kutokana na FB ya Nchimbi, Pinda ndiye aliyeruhusu unyama ule. Nasema kama Pinda haondoki, nitatangaza mgogoro na serikali ya CCM
 
Msije mkamfanya mtoto wa mkulima akaporomosha michozi tena bungeni japo kiukweli anapaswa kujiuzulu, pia rais wetu amekuwa busy mno na safari za nje huenda hatukuchagua rais isipokuwa tumechagua mtalii, wewe mtu gani kila leo anatembeza bakuli kuomba, mimi nilifikiri wagogo ndo wanatabia hiyo kumbe wakwere ni funga kazi aisee!

Ni kweli mkuu,huyu rais ni zigo la mavi mainzi ni hao mawaziri. Unajua aibu ilishatukumba mda,rais gani ndani ya miaka 8 aliyokaa madarakani kasafiri siku 360 plus,aibu gani hii kwa kinchi chenye raia maskini kupindukia na umasikini wenyewe umesababishwa na ccm hii hii. Kutoka ndani ya nafsi ya moyo wangu nachukia sana maccm.
 
Unajua wajinga hujisifu kwa kile ambacho hawakufanya kinyume na welevu ambao hujutia. PM alipaswa ajutie kutojihuzuru hasa wakati wa sakata la tokomeza, ni aibu kujisifu eti ikuku pale amekaa miaka zaidi ya 40, umekaa kuangalia tausi nalo unatamka bungeni???
 
In actual fact PM Pinda Must go, if our country believe in collective resposibility. All over the World for any legitimate Government that fail to protect its citizen from any injustice, tourture and inhuman treatment; Basi Watawala Wanakosa uhalali wa Kuongoza. PM Pinda Kama akigoma Kujihuzuru na Boss wake akimwonea Huruma basi Watanzania tulioguswa na Swala hili tuna Haki ya Kuchukua Maamuzi Magumu maana sisi ndio tumewapa dhamana ya Kutuongoza na hivyo tunayohaki ya Kusema Imetosha.

Well said Mkuu,

Hawa viongozi tukishawachagua wanageuka miungu Watu!

Pinda lazima ang'oke Vinginevyo Itabidi rais awajibike.

Lazima wananchi na sisi tuwe Na mikakati ya kuweza kuwawajibisha.
 
Lowasa aliachia kwa makosa ya JK, kutokana na FB ya Nchimbi, Pinda ndiye aliyeruhusu unyama ule. Nasema kama Pinda haondoki, nitatangaza mgogoro na serikali ya CCM

Kwa ujumla haya mambo yanapotokea ni Mipango ya serikali nzima. ila inapofikia Wakati Wa kuwajibika inabidi kiongozi mmojawapo awajibike
 
Hapa ndo najiulizaga hivi kuna uchawi kweli ule uchawi wa ukweli wallah mimi ningekuwa mchawi hawa nashusha mabusha mafisadi woote sijui mawaziri na viongozi woote wabadhirifu wa mali za uma na wakila chakula kinadondoka tungeona kama kuna kiongozi angekuwa anafanya mchezo na mali za umma manake wametufanya watumwa kwenye nchi yetu yaani nina uchungu na hawa wachumia tumbo hawa unakuta limtu limesababisha maelfu ya watu wamekosa huduma za afya, maji, elimu mtu aliesababisha yote hayo bado liipo tu kwenye hiyo nafasi utafikiri alizaliwa nayo wakiambiwa wajiuzulu wanaongea kama wamemeza betri sijui hii jeuri wanaipatia wapi wakati sisi wanachi ndio tulioungua jua na kunyeshewa mvua kwa sababu yao halafu leo wanatuletea dharau 2015 sio mbali tutaonana.

Kwa kweli Mkuu hii Inasikitisha sana, Wakati Wa kuomba kura wanyenyekevu utadhani malaika. Wakishapata kura wanageuka wanakuwa napapa
 
Hapa ndo najiulizaga hivi kuna uchawi kweli ule uchawi wa ukweli wallah mimi ningekuwa mchawi hawa nashusha mabusha mafisadi woote sijui mawaziri na viongozi woote wabadhirifu wa mali za uma na wakila chakula kinadondoka tungeona kama kuna kiongozi angekuwa anafanya mchezo na mali za umma manake wametufanya watumwa kwenye nchi yetu yaani nina uchungu na hawa wachumia tumbo hawa unakuta limtu limesababisha maelfu ya watu wamekosa huduma za afya, maji, elimu mtu aliesababisha yote hayo bado liipo tu kwenye hiyo nafasi utafikiri alizaliwa nayo wakiambiwa wajiuzulu wanaongea kama wamemeza betri sijui hii jeuri wanaipatia wapi wakati sisi wanachi ndio tulioungua jua na kunyeshewa mvua kwa sababu yao halafu leo wanatuletea dharau 2015 sio mbali tutaonana.

Kwa kweli Mkuu hii Inasikitisha sana, Wakati Wa kuomba kura wanyenyekevu utadhani malaika. Wakishapata kura wanageuka wanakuwa mapapa Na miungu Watu.

Wanasahau kwamba cheo ni dhamana Na sisi wananchi ndio tuliowapa Vyeo watutumikie. Leo hii sisi watanzania ndio tunatumikia viongozi Na familia zao.

Wananchi inabidi tujifunze hasa Hawa viongozi wanaotoa rushwa ili wachaguliwe ni hatari sana
 
PINDA ajizulu lakini si kwa operesheni tokomeza pekee yake...PINDA amethibitisha kuwa hiyo nafasi haiwezi na hana uwezo !!! hana maamuzi, maamuzi yake ya hovyo, huwa anatabia ya kupanic, PINDA amezoea kutumwa na kufanya operesheni za kung'oa kucha na meno na si zaidi ya hapo...U-PM unahitaji mtu makini mbunifu mchapakazi kama Lowassa na Marehemu Sokoine! Kwangu mimi hata Mwanri anafaa ila kosa lake anatokea Uchagani eti!!!
 
Kutokana na maelezo ya dk nchimbi source tanzania daima inatakiwa pm ang'atuke fasta otherwise no collective responsibility as applied by Lowassa during mwakyembeism
 
PINDA ajizulu lakini si kwa operesheni tokomeza pekee yake...PINDA amethibitisha kuwa hiyo nafasi haiwezi na hana uwezo !!! hana maamuzi, maamuzi yake ya hovyo, huwa anatabia ya kupanic, PINDA amezoea kutumwa na kufanya operesheni za kung'oa kucha na meno na si zaidi ya hapo...U-PM unahitaji mtu makini mbunifu mchapakazi kama Lowassa na Marehemu Sokoine! Kwangu mimi hata Mwanri anafaa ila kosa lake anatokea Uchagani eti!!!

Hapo juu umeeleza point nzuri sana ila ulivyomalizia!

Mkuu achana Na ukabila Au ukanda. Kama mtu anafaa huna sababu ya kuona hafai kwa sababu ya ukabila. Kumbuka kauli ya baba Wa taifa kwa hili; Sifa zote anazo lakini Mkara! Mi si mchaga lakini nachukia ukabila
 
Mkuu kwani wewe ni mgeni humu? CCM wanasera yao ya kuwabagua wachagga! Bora tuijadili kwa kina ili kesho na kesho kutwa wasije wakawatupia lawama wasiohusika...
 
pinda peter mizengo mtoto wa mkulima.....ulidhani ni rahisi kuwa mtoto wa mkulima katikati ya watoto wa mafisadi? shame on you
 
Back
Top Bottom