Barua ya wazi kwa RPC Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya wazi kwa RPC Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kishongo, Jan 6, 2011.

 1. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa RPC

  Salaam.

  Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

  Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

  Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

  Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

  Mungu Ibariki Tanzania.


  kny Watanzania Wazalendo.
   
 2. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,267
  Likes Received: 2,035
  Trophy Points: 280
  ameen!
   
 3. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  crap
   
 4. R

  Renegade JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,765
  Likes Received: 1,066
  Trophy Points: 280
  Aidha ni UJINGA, Au UMEJISAHAU au UMELEWA Shibe, Demokrasia ni Ghali na ina gharama yake, HAKI SAWA KWA WOTE, Vyama vya Siasa vimeandikishwa kisheria na vina wanachama waadilifu , Na ni hiyari yao kuwa wanakutana bila kuvunja sheria. Ni kosa wanapoonewa bila sababu ya Msingi.Huwezi kuwazuia kwa kuleta Siasa za CHUKI, CHUKI Haina Nafasi.
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Crap!
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,783
  Likes Received: 36,779
  Trophy Points: 280
  bangi za chooni zinawachanganya nyie.
   
 7. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135

  Mnaojipendekeza ili mpate walau ukuu wa wilaya mko weng
  i, tatizo vyeo vya kuteuliwa ndo hivyo viko vichache. Haya basi badala ya kupoteza muda kuandika aibu toeni wazo ili rais ateue Manaibu Wakuu wa Wilaya nina uhakika Kishongo utaukwaa.
   
 8. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  huyo aliyeandika barua ni wale wale tu. Mwisho wenu umefika.
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  huyu nd mpuuzi ambaye jana alikuwa alikuwa anatukana ovyo!!!

  hana akili na umekunywa maji ya chooni wewe
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  :A S-confused1::nono::closed_2:
   
 11. S

  Sendeu Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwandikie pia kuwa OCAMPO lazima amchukue THE HAGUE si kama zamani tena walivyokuwa wakitunyanyasa angalia Kenya Mr.ANDENGENYE
   
 12. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  uupuzi mtupu saa ya ukombozi yaja.
   
 13. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Kishongo acha upuuzi si wakati wa ushabiki sasa hivi kwani hata wana CCM wanaotumia akili na siyo kudanganywa na sare za kijani wamechukizwa na ubabe wa polisi. Najua hapa unashabikia CCM bila kutafakari kwa nini.
   
 14. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,267
  Likes Received: 2,035
  Trophy Points: 280
  If you cannot find peace within yourself, you will never find it anywhere else
   
 15. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unaitia najisi JF, si lazima uandike upuuzi wako hapa.
   
 16. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nashabikia nchi yangu. Wewe unashabikia umwagaji damu na kupoteza muda na nguvu kazi kwenye mambo ya kishenzi kama maandamano ya jana?

  Wake up!
   
 17. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Si wote tunaovuta kama wewe.
  Toa hoja, acha kujaza uoza hapa.
   
 18. P

  Paul J Senior Member

  #18
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [QUOTE=Kishongo;

  The measure of one's ignorance is the depth of one's belief in tragedies and injustices! Kishongo, tafakari unayoyaandika kabla ya kuyawakilisha hapa jamii forum!
   
 19. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kishongo ningeshangaa sana kama usingesema hivyo!!!!shame
   
 20. D

  DENYO JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ukitafuta mshenzi wa karne basi kishongo wewe ni mshenzi na unashabikia usililijua nchi gani unashabikia wewe???? Kuandamana ni haki ya kikatiba, mtakandamiza watanzania wanaodai haki mpaka lini??? Ifike mahali muone aibu na kuondoa mawazo mgando, majambazi wanaua watu na kutesa watu kila siku kila kona hao mbwa wameshindwa kuwadhibiti wanajua kutumikia masultani kwa kupiga wazalendo mabomu-mwisho umefika. Mwanza chini ya chadema sasa tunasafisha jiji lote.
   
Loading...