Mashetani ni walioandaa maandamano batili na kusababisha vifo kwa watu wasio na hatia kwa ajili ya kufanikisha malengo binafsi kwa kivuli cha siasa.
Mungu ameagiza kila mtu atii mamlaka ya nchi maana mamlaka zote zimewekwa na yeye (Mungu).
Vitendo vya kishetani ni kufanya maandamano yaliyokatazwa na mamlaka halali.
Mrudie Mungu wako ...sijui wakwako ni yupi. Kama ni huyu tunayemuabudu Watanzania wa dini zote, unatakiwa utubu kwa kujiunga na kundi la wahuni.
Rejea mafundisho ya Sunday School, Kipaimara au Madrasa, utajua ulipoangukia.
Vinginevyo usilitaje bure jina la Mungu.... utakuwa unavuna dhambi.