Ni kweli Dada Halima, jifunze kufanya positive decision ili kujiweka in positive side kila wakati. Uchaguzi wa maisha ya mabaya ya kisiasa ni mtu mwenyewe huchagua. Lakini all in all siasa za kujiumiza binafsi sioni kama zina tija kipindi hiki. Peleka majina
Akili kama za Ndugai hizi. Unajua kuwa kama kura zingeheshimiwa pengine ushindi wa Chadema ungesababisha ipate viti maalumu sio chini ya 80?
Sasa kwa nini hao 19 wakubali wakati wenzao zaidi ya 60 wamezulumiwa?
Kukubali jambo hilo sio ujinga ulio vuka mipaka?
Na jee unadhani hao 19 wanalazimishwa waende kwa manufaa ya demokrasia na Chadema au kwa manufaa ya ccm kutambulika ina bunge LA vyama vingi?
Serikali za mitaa walilizwa nafasi zote na bado mwaka huu wakaingia kwenye uchaguzi kwa kuwa zilikuwa ni nafasi yao, wakaamini watapita. Ubinafsi wa viongozi unaponza chama. Wanapoona ni nafasi zao wanaingia uchaguzini, sasa ngoja nao wasikilizie joto ya jiwe!Akili kama za Ndugai hizi. Unajua kuwa kama kura zingeheshimiwa pengine ushindi wa Chadema ungesababisha ipate viti maalumu sio chini ya 80?
Sasa kwa nini hao 19 wakubali wakati wenzao zaidi ya 60 wamezulumiwa?
Kukubali jambo hilo sio ujinga ulio vuka mipaka?
Na jee unadhani hao 19 wanalazimishwa waende kwa manufaa ya demokrasia na Chadema au kwa manufaa ya ccm kutambulika ina bunge LA vyama vingi?
Ila unaweza peleka jina lako viti maalumBasi nyie wanainchi mkasajiri chadema msumbiji
Nafuu kwa mchukuzi.Kuvuja kwa pakacha,...