Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Watanzania sasa hata uwezo wa kufikiri una pungua kabisa yaani tuandike waraka wote tutoe wewe uje ukane ina maana wewe ni mnafiki mpaka kuweka wazi inamana walikaa chini wakashindwa kukubaliana ndio maana wakaweka wazi sasa hivi zama zimebadilika zamani makanisa walikua wanafukia fukia siku hizi kila kitu wapo wazi
 
Umo humu humu utafute kisha uweke hapa halafu uusome.
Nimeshausoma na niliuelewa vyema ndio maana nashangaa mnaposema una hatari, ndio maana nikaomba kujuzwa hatari yake ni ipi.

Mwenzako wakudadavua amejichimbia anausoma tena upya baada ya kumpiga swali wewe vidole vyako vimejaa tu nyege unajiropokea tu bila fact!
 
Nimeandika kwa Shoo sababu yeye ndiye Mwenyekiti wa Maaskofu KKKT hivyo kwa dhamana hiyo abadilike

Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.

Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.

Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.

Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.

Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.

Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.

Wito wangu kwako ni ujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.

Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.

Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.

Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.
Malasusa alivyopewa kingora cha ikulu we huoni?
 
Hube jibu haya maswali kwanza????

Yuko wapi Ben Saanane?
Yuko wapi Azory?
Nani aliyempiga risasi Lisu?
Je katiba haijakanyagwa?
Maisha kwa watu wa kawaida yakoje?
Vita dhidi ya ufisadi inafanyika kwa haki na inawagusa mafisadi wote?
Nani aliyemteka Roma na wengine?
Miili anayookotwa koko beach ni ya nani?
Ziko wapi tr 1.5, au matumizi yake?

Ukinipa majibu ya maswali yangu then tuendelee na hoja zako
 
Yule Jirani yenu Mzee aliesema mmetumbukia kwenye siasa huenda kumbe mngemsikiliza, hapa sioni mpasuko ndani ya kkkt bali misuguano ya pande mbili yenye mlengo tofauti ya kiitikadi, ukiondoa haya kanisa halina shida yoyote.

ONYO: Kkkt chukueni tahadhari kuna watu huenda wana maslahi na mgogoro huu, mkijaribu kuzima wanamimina petrol, moja ya ushauri wa bure jifunzeni kwa wenzenu wakatoliki, kama mmeamua sasa kuwa na baraza la maaskofu kama wenzenu, jiwekeeni miiko yenu na moja ya mwiko uwe "kukaa kimya" mahala ambapo "kutoa sauti" hakuna tija.

Viva Ecclesia.
 
Attachments

  • IMG_20180429_111201.jpg
    IMG_20180429_111201.jpg
    48.3 KB · Views: 28
Hili Bararaza la Maaskofu wa Chadema liko tayari kuliingiza kanisa kwenye mgogoro mzito.

inashangaza kuona bashite akiwa mastermind wa DMP

Nasema haiwezekaniiiii

Narudia haiwezekani
 
Attachments

  • IMG_20180429_111201.jpg
    IMG_20180429_111201.jpg
    48.3 KB · Views: 35
Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.

Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.

Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.

Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.

Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.

Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.

Wito wangu kwako ni ujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.

Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.

Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.

Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.

huu upuuzi wenu utakoma lini
 
Malasusa alitakiwa awe ameshastaafu.... lakini kwa sababu ya uchu wa madaraka bado mpaka leo anang-ang'ania tu madarakani!
Baba Askofu Shoo yeye anasimamia misingi ya kanisa...huyu fisadi,mzinzi anasimamia Nini?
 
Midege inazidi kutua KIA na JNIA kuunga mkono jitihada. Tunatimiza ilani kwa vitendo. [HASHTAG]#Uongozi[/HASHTAG] unaoacha alama#
 
Back
Top Bottom