MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Kuna watu wamefunikwa na blanketi la udini ambalo linacloud kila kitu. Hizi wiki chache za karibuni nimeshangazwa sana. Ni noma tupu.
huyu pundamilia ponjoro nini??
Inavyoonyesha unapenda kuongela watu personalities (simple mind) kuliko issues...hapa tunaongelea issuea unatake personal details kweli akili yako robo kikombe!!!usipate shida ndugu yangu kuna siku wataondoka tuu kwa "peoples power", toka lini ulishaona ponjoro akampiga chini ponjoro mwenzake???Wana JF plzz tunaomba datas za huyu ponjoro "SAKINA DATTOO" tujue kazaliwa wapi na alisoma wapi??Jee aliukana uponjoro wake??Tunataka kumchambua kama karanga tumkome nyani giladi mchana kweupe.
U can fool some people some times, BUT u cant fool all the people all the time.
TUNAKUJA..........watch this space.
Mkuu yani we acha tu. Sikuhizi kuna watu kwenye kila post lazima waingize udini. Hata sehemu ambayo udini haikutakiwa kuwa factor basi wao wanaingiza. Mimi nadhani ni kushindwa hoja tu ndiyo maana wana kimbilia kuingiza a sensitive issue ya udini. Na tatizo mtu akishaingiza udini hoja zote zina yeyuka kwa sababu kila mmoja hataki kuonekana yupo for another religion na wale waliopo neutral wanaogopa kuonekana wadini. Ngoja tuone mwisho wake.
Hivi suala la kukandamizwa kwa haki za wapalestina, kukaliwa maeneo yao kimabavu na kunyanyaswa na waisrael kama vile utu wao hauna thamani ni UDINI?
Nadhani hapa ndipo kwenye tatizo. Kuna wengi wanaokubali propaganda kuwa suala la WAPALESTINA na ISRAEL ni suala la udini kana kwamba WAPALESTINA ni waislamu pekee na waisraeli ni WAYAHUDI PEKEE. Hii ni athari ya upotoshaji mkubwa kwa manufaa ya WAKANDAMIZAJI wa haki za wapalestina...
Mara nyingi ni UDINI ulio ndani ya mioyo yetu ndio hupelekea kudhani kila afanyalo mwengine litakuwa na mantiki ya udini...
omarilyas
Deepesttthroat, una maoni yoyote mkuu?
Mhhhh... Umesababisha nikaangalia... Ana post moja, kajiunga JF jana...! Natumaini ana maoni zaidi...
Mengi alimnunua Sakina kwa uwezo wake wa kazi
Yaliyosemwa na Rostam hayoooo, Loud and Clear.
Du! Mh. Mengi huoni aibu kuwa kuchagulia editors cha kuandika?
hii barua ya sakina inaonyesha jinsi gani mengi alivyokuwa na akili
amemdhibiti kibaraka wa mafisadi(sakina) na kuhakikisha hata kama akiondoka, hata ondoka na nyeti zozote za ipp
kwa ajili kwenye hii barua sakina ameandika pumba na amekosa hata kitu kimoja cha kumlipua mengi, akaona achomeke kipande cha palestina (asante JF kuna watu wanakumbukumbu wakaweza kukidhibiti).
eti yeye ndio ameifikisha gurdian hapo ilipo na mengi mwenyewe sijui atasemaje, du????
kila kitu yeye na alafu hivyo vitu vyote kavifanya kwa mwaka mmoja tuu (hivi huyu mwanamke anajua biashara inachukua mda gani kujenga kweli), hivi ilo jina la guardian limejegwa kwa mwaka mmoja kweli???
Hongera sana Dada Sakina kwa ushujaa wako...
Umewafungua macho watanzania...We need courageous people to open up and speak up if we are to have a true democracy in the Media..
Wadau Sakina hakujipeleka Ipp Media..RM alikuwa anafuata fuata sana ajiuge kwneye group yake...Tunajua Mengi ni mbagusi and hela zote anayotamba nae ni maki wa wayahudi and alipigiwa simu kutoka Israel amshushe cheo Sakina lasivyo hata senti moja hatapata tena...
Hiyo barua iliyowekwa hapa ni ukweli wala hana haja ya kuomba kazi....She is known for her hard work.. Na wale wanaofikiri anjiunga na Habari Corp kujiunga na RA, hiyo siyo ukweli..ukweli ni she will not be dragged to do what she does not want...Wana JF Sakina is professional
Whatever yakeandikwa kwenye resignation letter ni ukweli, RM anapenda sifa za uwongo tu ili apoteshe jamii...muda umefika kutambua mafisadi wakweli..wamejaa serekalini na siyo magabachori tuu....
mambo ndivyo hivyo....
Uwongo uko wapi...kubali the facts are there....Yeye/wewe Sakina kama hapendi sifa mbona barua yake imejaa majisifu? na kama hakuridhika kuwa IPP si angeandika barua tu ya kuacha kazi badala ya kujikweza kwa aliyo yafanya?
Unajua, mtu kama we ni mbaguzi, ndiye utakuwa wa kwanza kuona wnao bagua, lakini kama hilo wazo halipo kichwani mwako, it is hardly to note!
Sakina we ni Mbaguzi, macho yako ya kibaguzi ndo yalikupofua hadi ukaona eti RM hampendi balozi wa Palestina, ukajisahau kwamba siku hizi mitandano ina umbua, sasa hivi watu wana google data nje nje za mahusiano ya balozi wa palestine na vyombo vya IPP Aibu gani hii umejitia dada?
To be honest wewe tu na Prof. Shivji ndo mlikuwa mkinifanya niamini kwamba kuna watu wa jamii yenu ambao wana roho za utu, nimesikitishwa you are not, nimembakisha SHIVJI TU! Siku naye nikijua upande wake mwingine bac nitakuwa mfuasi wa Mtikila kwamba GABACHORI ni our best enemy! sorry to say it but ndo ukweli! Unawezaje kutunga uongo na kupandikiza chuki namna hii?

Zak, wewe ni muandishi mzuri na nakuheshimu kwa hoja zako... nakubaliana na wewe hata kwenye hili, ila jaribu ku-play neutral kidogo hatujui kama ni sakina aliyelikisha hiyo letter au la!! pia kuna mengi behind the closed doors.. hatujui sakina atajikisiaje kama barua yake confidential imewekwa humu bila ridhaa yake
...fun loving criminal....