data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,884
Uache kushea mademu na wakubwa!!!
eeehhh... em rudia!!!!
Uache kushea mademu na wakubwa!!!
nimejikuta nalia tu. ....................
mheshimiwa RAIS, mfungwa huyu ametumia neno moja kubwa saaana , anakuona wewe ndiye mzazi wake. mwanao anaomba msaada wako. ametubu makosa yake, ombi hili si kwako tu wafikishie mpaka waliotendwa wasamehe. Mungu wetu ni mwenye kusamehe, iweje sisi wanae tusisamehe. hatukushinikizi utashi ni wako.
Watu wengine kazi kufuata mkumbo. Ile kesi mliifuatilia? Hawa ni wabakaji wa watoto.inatia huruma sana lakini kwa kuwa ni nchi ya wasioelewa itakuwa ngumu kufahamu shida ulizonazo ndugu yangu papii mpaka leo tunakukumbuka
nashukuru saana kwa kuungana mkono pamoja, lkn mkuuuu kuna jambo moja ktk tawala zetu , ndilo linalo kwa misha vitu vingi saaaana. wale waliowekwa kama wasaidizi wa rais au mkuu yoyote ktk sehemu yoyote ya umma .hawafikishi taarifa sahihi au kazi yao kuitikia tuuuuu kila kitu ndio mzee, hivyo hivyo ,hujakosea . inabidi wakati mwingine ili apate mawazo sahihi ya anao waongoza inabidi avamie mtaaani. kuokoteza maneno madogomadogo ya wananchi wake ambao hawana lugha ya upembuzi yakinifu, hali itakapo ruhusu, kipaumbele na maneno yote yanayofanana na uvivu wa kufikiria kwa undani.Umeandika maneno yenye busara lakini sio kwa sultani.
aafu wale watoto walidai walilishwa vitu kama maziwa yenye wadudu wanatembea toka kwa dudu ya nguza. Na mahakama ikapokea ushahidi wa aina hii.! Sperms zinaonekana kweli!! Only in tz.
Anataka kusema amefungwa kwa matakwa ya Rais? Kama ni kwa mujibu wa sheria Rais hayuko juu ya Sheria
mkuu hii barua nnashangaa watu hawaoni ujumbe wa papii kwa mkuu!......;
Naanguka na kushika miguu yako mitukufu muheshimiwa rais.
Na kuomba msaada (msamaha) kwako muheshimiwa rais
So inaamanisha Papii amekiri kosa (la kulawiti) na anaomba msamaha ili atoke jela.
Hivi utaratibu wa kupata msamaha wa rais huwa unakuwaje?
Unaandika barua(kama hiyo) au unaendelea kutumikia adhabu huku ukingojea huruma ya rais?
Kwanini ishindikane kubaka watoto 10?..kama umefuatilia kisa chenyewe vizuri ni kwamba watoto hawa hawakubakwa kwa siku moja bali ni kwa nyakati tofauti.,sasa huoni kama uwezekano wa kubakwa watoto kumi upo?..najua wengi wanajiuliza kwamba inawezekana vipi baba na watoto wake wakafanya hayo tena kwa pamoja.,katika hali ya kawaida kweli inaweza kuwa ngumu lakini katika mazingira kama ya ushirikina inawezekana, so tusishangae wala kujiuliza sana kwani yote yanawezekana na binadamu tumetofautiana sana unaweza ukamuona mtu ni mwema sana lakini upande wake wa pili ni zaidi ya shetani.
watu wengine kazi kufuata mkumbo. Ile kesi mliifuatilia? Hawa ni wabakaji wa watoto.