Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,643
Wewe waarabu wamekuharibu na hadithi zao za kufikirika mkuuWe ndo kilaza usieelewa,
Ethiopia sio pure black sababu wamechanganyika na race nyengine, Huyo Luqman yupo hapo kabla hata Aksum Empire haijakuepo, ni zamani sana hata kabla Ethiopia hawajatawala Yemen ama wayahudi kuja Ethiopia, na Alikua mweusi kama vitabu vinavyosema.
Mfano wake unachobisha hapa ni kama mkaazi wa Zanzibar miaka 3000 iliopita useme alikuwa ni Mpemba, haimake sense sababu Mpemba kapAtikana kwa mchanganyiko wa Mwarabu na mbantu baada ya Waoman kwenda zanzibar miaka Mia kadhaa iliopita,
Hakukua na mhabesh miaka zaidi ya 3000 iliopita.
Hizi trick za kitoto eti Kitabu cha kiisilamu kimeandikwa kama Biblia, Nyie jamaa mnachekesha sana. Hivi mmewahi hata kuona Quran ama Kitabu cha HADITHI muonekano wake?MKUU TOFAUTISHA WAHABESHI NA WANUBI NA MACHOTARA WA KIARABU NA KIHABESH NA KINUBI WANAOTAJWA KWENYE HADITHI ZA KIMAPOKEO ZA DINI YA KIARABU IITWAYO UISLAMU.....WAPO TOFAUTI NA WABANTU,KWA WAARABU WABANTU WOOTE NI ZANJI NA HOPELESS STUPID HUMAN BEING AND THEY DESERVED HELL..AU HUJAWAHI KUKAA NA WAARABU NA KUJUA IMANI ZAO NA MITAZAMO YAO YA KINAFIKI NA CHUKI DHIDI YA WABANTU
Mkuu we niggaz from the hood and we know ourself.Malcom x alitusaliti na kukimbilia uarabu na tamaduni zake,so alisinitch Pan Africanism movement so he deserve hole in his body.Lete Ushahidi kwa Hio specific case ya Mazingira ya Malcom X.
Mkuu waarabu wamekuharibu na adithi zao za kufikirika.Sisi wabantu ndio tunajua ukweli wote,sio waarabu na wazungu.Hizi trick za kitoto eti Kitabu cha kiisilamu kimeandikwa kama Biblia, Nyie jamaa mnachekesha sana. Hivi mmewahi hata kuona Quran ama Kitabu cha HADITHI muonekano wake?
1. HADITHI ya kiisilamu lazima iwe na Chain of narration hapo hakuna
2. Unasema imetoka Kitabu gani, mlango gani, hapo hakuna
Kifupi ni story kama story nyengine tu hizo.
Sio mimi tupo Bilioni 2 duniani na kila siku tunaongezeka, maelfu wanasilimu kila siku kuanzia mabeki 3 hadi maprofesa, tupo njiani kuwa dini kubwa zaidi duniani kabla ya 2050,Wewe waarabu wamekuharibu na hadithi zao za kufikirika mkuu
Mkuu huo utamaduni wa citation,ni njia ya kutaka uongo uwe ukweli.Wabantu usomi wetu umebase kwenye reality na sio adithi za kufikirika mkuu.Huwezi kujiita msomi halafu hujui kufanya Citation,
We unajua Pan Africanism kuliko Nyerere na Viongozi wengine wa wakati huo? Viongozi wa Ki Africa walimpenda na wamemuandika sana kwenye vitabu vyao, ila popoma kama wewe ambaye ubongo umejaa pumba unafikiria vyengine?Mkuu we niggaz from the hood and we know ourself.Malcom x alitusaliti na kukimbilia uarabu na tamaduni zake,so alisinitch Pan Africanism movement so he deserve hole in his body.
Sasa hujui kua duniani asilimia tisini na tano binadamu ni wajinga na wanaamini vitu vya kufikirika.Na ndio maana wachache wajanja wanatawala dunia.Sio mimi tupo Bilioni 2 duniani na kila siku tunaongezeka, maelfu wanasilimu kila siku kuanzia mabeki 3 hadi maprofesa, tupo njiani kuwa dini kubwa zaidi duniani kabla ya 2050,
Kama unahisi HADITHI ZA kufikirika zina fanya watu kusilimu kila siku then you are welcome
Ni utamaduni wa kisomi, haijalishi upo wapi uwe mzungu, uwe musilimu, uwe mchina Citation ni lazima. Watu waongo pekee ndio hawataki Citation ili uwadanganye wengine.Mkuu huo utamaduni wa citation,ni njia ya kutaka uongo uwe ukweli.Wabantu usomi wetu umebase kwenye reality na sio adithi za kufikirika mkuu.
Nyerere kibaraka wa wazungu au hujui mkuu???????Hakujua chochote kuhusu pan africanis movement mkuu.Waliompenda walikua vibaraka wa waarabuWe unajua Pan Africanism kuliko Nyerere na Viongozi wengine wa wakati huo? Viongozi wa Ki Africa walimpenda na wamemuandika sana kwenye vitabu vyao, ila popoma kama wewe ambaye ubongo umejaa pumba unafikiria vyengine?
Hakuna kitu hicho,umekaririshwa mkuu ili utawalike.Ni utamaduni wa kisomi, haijalishi upo wapi uwe mzungu, uwe musilimu, uwe mchina Citation ni lazima. Watu waongo pekee ndio hawataki Citation ili uwadanganye wengine.
Asante kwa Kushusha Iq zangu. Wasalimie Wasalimie wote.Nyerere kibaraka wa wazungu au hujui mkuu???????Hakujua chochote kuhusu pan africanis movement mkuu
Hakuna kitu kama hicho cha dini kubwa mkuu.Utamaduni wa kiarabu hauwezi ukawa dini kubwa,au utamaduni wa kizungu hauwezi ujawa dini kubwa .Au hujui dunia imebadilika mkuu na dini mpya zinaanzishwa duniani kila siku.Tembea uoneSio mimi tupo Bilioni 2 duniani na kila siku tunaongezeka, maelfu wanasilimu kila siku kuanzia mabeki 3 hadi maprofesa, tupo njiani kuwa dini kubwa zaidi duniani kabla ya 2050,
Kama unahisi HADITHI ZA kufikirika zina fanya watu kusilimu kila siku then you are welcome
Mkuu kama wewe ni chotara wa kiarabu uliyezaliwa tanga au pangani,wala sikulamu kua kibaraka wa waarabu.Wasalimie wote piaAsante kwa Kushusha Iq zangu. Wasalimie Wasalimie wote.
Waliompenda walikua vibaraka wa waarabuWe unajua Pan Africanism kuliko Nyerere na Viongozi wengine wa wakati huo? Viongozi wa Ki Africa walimpenda na wamemuandika sana kwenye vitabu vyao, ila popoma kama wewe ambaye ubongo umejaa pumba unafikiria vyengine?
Sasa nini hiki umeandika?Mimi kama muislamu nisiwe mnafiki wakuogopaogopa, na lazima niwe upande wao waarabu kwa hali yoyote ile napoona wanasemwa vibaya nami nipige kimya itakuwa sio vyema, nawapenda sana hawa ndugu zangu. Kwa maana nikiwachukia ilhali mimi ni muislamu mwenzao na Mtume wetu rehma na amani ziwe juu yake alikuwa ni mwarabu. Hivyo nikiwasema vibaya na kuwachukia waarabu kanakwamba nitakuwa nimemlenga pia Mtume Muhammad S.A.W. Sikatai Wapo baazi ya waislamu humu na hata nje ya jamiiforum wakiwachukia waarabu kwa kufuata upepo wenu enyi wagalatia, waislamu hawa wapo wapo tuu ilimradi mtu anaitwa mohamedi, salum lakini sio waumini wa kweli ila ni waislamu.
Mohamedy cadinaly
Mkuu ila wao wanakuita zanji.Nenda north darfur au yemen ndio utajua waarabu wana tabia gani.Sisi kuwafúkuza zanzbar sio wajinga.Lakini nikupe hongera wewe ni muwazi umesema ukweli wa moyo wakoMimi kama muislamu nisiwe mnafiki wakuogopaogopa, na lazima niwe upande wao waarabu kwa hali yoyote ile napoona wanasemwa vibaya nami nipige kimya itakuwa sio vyema, nawapenda sana hawa ndugu zangu. Kwa maana nikiwachukia ilhali mimi ni muislamu mwenzao na Mtume wetu rehma na amani ziwe juu yake alikuwa ni mwarabu. Hivyo nikiwasema vibaya na kuwachukia waarabu kanakwamba nitakuwa nimemlenga pia Mtume Muhammad S.A.W. Sikatai Wapo baazi ya waislamu humu na hata nje ya jamiiforum wakiwachukia waarabu kwa kufuata upepo wenu enyi wagalatia, waislamu hawa wapo wapo tuu ilimradi mtu anaitwa mohamedi, salum lakini sio waumini wa kweli ila ni waislamu.
Mohamedy cadinaly
Malcom x, Waarabu walimfanya kama chambo ya kisiasa kuwa win black Americans ndyo maana wakamfanyia ukarimu wote huo. Ukweli uliobainika baada ya mambo yote kuwa mtandaoni ni kuwa Quran inawaweka Watu weusi na wanawake kuwa Watumwa na zaidi kuwa watu weusi sehemu yao ni motoni sawa na Shetani. Cha zaidi scholars wa Kiislamu walikomelea msumari kwa kuwataja kabisa watu weusi-Zenjiba kuwa ni watumwa