William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
..huu mchezo wa bungeni na malima na manji ni mbimu tu,zogo liendelee huku wengine wanaendelea kutumbua pesa za mifuko ya hifadhi walizoiba,.
manji amefanya trick kubwa sana akisaidiana na associates wake..yaani kuhamishia attention ya watu kwenye....kufikiri hii kashafa ya nssf imeibuliwa kwa sababu za UDINI ili kuwamaliza yeye na wakurugenzi wa hayo mashirika ya hifadhi ambao ametumia kofia ya udini ili kuvuta hisia za wananchi kwamba wanaonewa.
pili hii hoja kupelekwa na kutolewa bungeni ni kati ya malengo ya kubadili akili za watu waamini suala la mabilioni ya manji na nssf,pspf..limezuliwa na mengi kwa kuzingatia chuki na wivu wa mengi dhidi yake kibiashara hasa kwa kuwa wote wameshawahi kushindania kuendesha michezo ya bahati nasibu,
Hapa kidogo pana utata Manji alijiingiza Yanga kwa kuendeleza vita yake dhidi ya Mengi......................kama unakumbuka mengi ndiyo aliyekuwa msuluhishi wa mgogoro wa Yanga yaani makundi yote matatu ya Yanga yaliyokuwa yanatofautiana na kilifikia kipindi karibu angefanikiwa hilo, hapa ndipo Manji alipoingia na kuongeza mitafaruku ktk hatua za mwisho za Yanga kufikia Makubaliano na katika kikao amabcho ni cha mwisho kufanyika Klabuni cha wanachama wa wote wa klabu ya Yanga na Mengi akiwepo Hapa ndiyo Manji aliwanunu kundi la Yusuph Mzimba (Yanga asili Likafanya vujo)Na Mengi kushindwa kulimaliza Gogoro na Kuondolewa Chini ya Ulizni Mkali Kutoka Klabu Ya Yanga pale jangwani hapo ndipo mengi alipopata akili na siku hiyo hiyo alitangaza kujivua na kutoendelea tena na usuluhishi.Hapa ndipo kina mzimba wakafanikisha kazi waliyotumwa na Manji,sasa Manji kwa kutaka kujionyesha yeye ni zaidi kuliko Mengi akaingiza Jeshi na kupenyeza Rupia kwa wingi NA Kuwamwagia mapesa zaidi wote wenye njaa na vyazno vikuu vya migogoro na akafanikiwa kuwasuluhisha na Akaendelea na kuchukua udhamini.(Hapa PR ya Manji ).Ndiyo maana leo Hii UNASIKIA Mzimba Yupo Tunis na Yanga..............Anakula matunda ya Manji,Zitakapo ota mbawa basi watarudi kule kule Lakini so far so good for Yanga.tatu manji ametumia michezo especially udhamini wake kwa YANGA kama moja ya kampeni zake za PR cleaning....haya mambo yakishasahauliwa YANGA wajue hawana mfadhili...afterall wanaomjua manji wanasema ni SIMBA mzuri tu ila STRATEGISTS wake walimshauri angeingilia simba asingekuja juu mapema kwa sababu kwa wakati huo simba walikuwa na mo na wengine ,ingekuwa ngumu kuwafunika ghafla.
huu mchezo wa bungeni na malima na manji ni mbimu tu,zogo liendelee huku wengine wanaendelea kutumbua pesa za mifuko ya hifadhi walizoiba,.manji amefanya trick kubwa sana akisaidiana na associates wake..yaani kuhamishia attention ya watu kwenye....kufikiri hii kashafa ya nssf imeibuliwa kwa sababu za UDINI ili kuwamaliza yeye na wakurugenzi wa hayo mashirika ya hifadhi ambao ametumia kofia ya udini ili kuvuta hisia za wananchi kwamba wanaonewa.pili hii hoja kupelekwa na kutolewa bungeni ni kati ya malengo ya kubadili akili za watu waamini suala la mabilioni ya manji na nssf,pspf..limezuliwa na mengi kwa kuzingatia chuki na wivu wa mengi dhidi yake kibiashara hasa kwa kuwa wote wameshawahi kushindania kuendesha michezo ya bahati nasibu,..
tatu manji ametumia michezo especially udhamini wake kwa YANGA kama moja ya kampeni zake za PR cleaning....haya mambo yakishasahauliwa YANGA wajue hawana mfadhili...afterall wanaomjua manji wanasema ni SIMBA mzuri tu ila STRATEGISTS wake walimshauri angeingilia simba asingekuja juu mapema kwa sababu kwa wakati huo simba walikuwa na mo na wengine ,ingekuwa ngumu kuwafunika ghafla.
kuhusu propaganda nilisema nilihisi kwamba mswahili anapiga sana propaganda dau...kiasi kwamba hamtyendei haki ...ni sawa na kumuharibia ..dau bado ni kijana na nauwezo wa kufanya zaidi sasa kama atahusishwa na mswahili itafanya mbele ya safari akose SIFA ZA KITAIFA...kama anafanya kazi watu wanaona ,hakuna haja ya kumpigia mayowe,wakurugenzi wa mashirika ya umma wapo wengi wanaofanya vizuri...
wakurugenzi waliotangulia wa NSSF kama sikosei mkullo mustapha ,ndie aliyejenga investments nyingi...zikiwemo hosteli za chuo ...sasa kama ujenzi ulipoisha alishastaaafu ..hilo sijui...ni kama uwanja wa taifa mpya utakapoisha mwezi wa saba ,..je tutasema umejengwa na kikwete au mkapa..kwa kifupi maendeleo ya taasisis yoyote ni TEAM WORK na sio ONE MAN SHOW...anaepokea kijiti anakuwa muendelezaji ....
kuhusu NSSF naona hakuna tofauti kati ya dau na mkullo au mattaka...tena sanasana DAU bado hajafanya vivid investment kulinganisha na enzi ya kina mkullo au mattaka [hata mkimsema ..jamaa ni kichwa ]....ila aendelee kujitahidi ..na nafikiri ni mtu anayetumia sana propaganda chini chini..natambua ni PAN AFRICA mzuri na mtoto wa mjini ,,,but we want more results...
Je hiyo barua itatolewa kwenye public?
Mzee Masatu,
Heshima mbele mkuu, kwangu the big picture ni mjadala wa the legal strengh na weaknesses katika hii kesi, wewe umesema nini na mimi nimesema nini sio muhimu sana kwangu,
Anyway ninaheshimu elimu ninayoipata kutoka kwako na wengine wote kwenye huu mjadala, kwenye haka kakitabu ka-Spika kuna article mbili za wabunge waliokwenda kinyume na wenzao, naona maoni yao kuwa ni muhimu sana kisheria maana hata wao wanaashira kuamini kuwa kuna rushwa ilitolewa,
Sendeka alimwambia el uso kwa uso kuwa amepokea rushwa pia, Mama Anna, kamati ilipoanza kikao hakuwepo alikuwa nje ya nchi, aliporudi siku ya kwanza kukaa kwenye kamati hakuamini aliyokuwa akiyasikia na yeye pia kuonyesha wasi wasi wake na rushwa ndani ya kamati, so far hatujasikia kuwa Mengi ametoa rushwa, wote waliotamka wanamuandama Manji,
Ndesamburo alijitoa kwa sababu alidai kuwa Manji amewahonga wabunge, gazeti moja nchini lilikuwa na kichwa cha habari kuwa el amesema Manji amehinga wabunge, sasa unaamini hawa wote walikuwa wanamuhukumu Manji? Kwenye hili la rushwa Malima hayumo kabisaa hili ni deal la Manji, kwa hiyo mimi sijamuhukumu mtu ila ninafuatilia mawazo ya awali ya wabunge,
Ila ndugu yangu bado ninahangaika kujua kama hawa wote waliohusika ni hiii kesi walikuwa under oath, na bado ninamsikitia ndugu yangu Malima kwa kujiingiza kwenye hii mess!
Hapana ya kutoka kwa Makamba kwenda kwa Malima, itatolewa kwenye public?
next week will be a very interesting week... nasubiri kusikia Makamba akiirudisha barua ya malalamiko ya Malima kwa Kamati ya Wabunge wa CCM... na hapo patakuwa patamu.
Mzee Wangu,
Unafikiri ni kwa nini wakati zingine tumeziona? Makamba atakuwa anaficha nini? Lakini tutailalia macho hiyo barua tutaipata tu!
Mzee Kichuguuuu,
Heshima mbele mkuu, nafikiri ni very important hiyo hoja kwamba Spika angesubiri kwanza matokeo ya uchunguzi wa PCB, ndipo atoe uamuzi kwa sababu matokeo ya mambo aliyoyafanya kienyeji amefungua mianya kwa Mengi na Manji kwenda mahakamani at anytime wakihisi kutoridhika na maamuzi ya huko mbele, au ya sasa!
Ninaanza kuwa na wasi wasi na role ya Spika kwenye hii kesi nzima, kutokana na hizi facts zinavyojitokeza!
Jumanne tarehe 10 baada tu ya kiipindi cha maswali na majibu...........kahistoria kadogo kuandikwa juu ya uhuru wa Bunge kwa mujibu wa ibara za katiba 8, 63 na 100. Pia sheria na.3 ya mwaka 1988 na kanuni za Bunge. Fuatila kwa makini............................