Barua toka kwa.....

Nyie napita bana sina ubavu wa kusogea hapo napita huku kw aakina Lizzy kuna nyama na viungo na bucha na wapishi hata silewi ila leo nataka nikampikie Lizzy mpaka ajing'ate ulimi . Nyie endeleeni tuu kuongea wala siwasikiii
Hahahaha....kweli leo siku yangu.Enhe wanipikia nini niandae meno...?!
 
Kwa Liizzy ni balaa maana unafundishw anamna ya kupika na kuonja nyama na unahikishiwa kuwa nyama yako itakuwa tamu tuu hata kama imekonda. Nenda kule uje umpikie wa ubani hatakuacha kamwe

mkuu Lizzy kaona unavyomsema...utakoma mie simo hahahahhaa...nasepa kichina china hahahahahahaha
 
nilidhani mapenzi yamezaliwa INDIA.Kumbe hata Tanzania yapo.Magulu unatisha! Janeti ni jina la shemu wangu anatabia nzuri.Nadhan mungu atakuletea jane wako!
 
nilidhani mapenzi yamezaliwa INDIA.Kumbe hata Tanzania yapo.Magulu unatisha! Janeti ni jina la shemu wangu anatabia nzuri.Nadhan mungu atakuletea jane wako!

mkuu hahahah mimi penda veve sana tuu...Nimeipenda mkuu...
 
Lizzy achana na Magu bana njoo uje ule huku. Mapishi ya leo ni kiboko maana nimeweka kila kiungo. Ushindwe wewe tuu hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom