Barua toka kwa.....

haya njo magulumangu wangu. Nikitype a we unatype b. Mambo kusaidiana. Au sio?

Husninyo jamani, kwanini tuanzie na A then B? sipati mwendelezo hapo...vipi tukianzia I na kuendelea mwishoni tumalizie U? huoni hapo inaleta maan jamani?
 
Magu naona unaanza mambo mengine hapa
Ngoja nikae pembeni niwatizame

unajua huyu bibie bwana anajua sana nini anamaanisha...ngoja usiharibu kidogo tusikie atasema nini tukianza na hizi herufi mie naziita The wonder of the beggining and the End.
 
Ndo maana nikasema nikae pembeni niwaachie wenye meno watafune maana nikikaa hapa nazusha kiwingu bure
 
mwenyewe si umemuona kakimbilia sijui kwa Lizzy au kwa mchungaji Masanilo kunisemea hahahaha

Ameenda kwa Lizzy maana kaanzisha story za bucha sijui mapishi sijui nyama naona hata simwelewi vile ndo kakimbilia huko

uwiiiiii! Nitashiiiiiindwa..!Hlf mr rock anatuchabo. Hebu mmwagie upupu.

Mshindwe mna mlegee mimi hapa sipigi chabo ila napita tuu mtaa wa tatu kutokea kwenu
 
Ameenda kwa Lizzy maana kaanzisha story za bucha sijui mapishi sijui nyama naona hata simwelewi vile ndo kakimbilia hukouwiiiiii! Nitashiiiiiindwa..!Hlf mr rock anatuchabo. Hebu mmwagie upupu. Mshindwe mna mlegee mimi hapa sipigi chabo ila napita tuu mtaa wa tatu kutokea kwenu
haya baba we pita, ila ukumbuke kutia nyama yako viungo leo.
 
Ameenda kwa Lizzy maana kaanzisha story za bucha sijui mapishi sijui nyama naona hata simwelewi vile ndo kakimbilia huko

uwiiiiii! Nitashiiiiiindwa..!Hlf mr rock anatuchabo. Hebu mmwagie upupu.

Mshindwe mna mlegee mimi hapa sipigi chabo ila napita tuu mtaa wa tatu kutokea kwenu
Utamweza Lizzy? nilisema husninyo atakimbilia huko tuuu...bucha, sijui nini...aaahhh nimeshindwa hata kuelezea...
 
Dah Mr rocky bwana kaharibu...njoo kule mitaa yetu si unakumbuka eeeeeeeeeeehhhhhhh....Ngoja nimwagie pilipili kabisa akome

Nyie napita bana sina ubavu wa kusogea hapo napita huku kw aakina Lizzy kuna nyama na viungo na bucha na wapishi hata silewi ila leo nataka nikampikie Lizzy mpaka ajing'ate ulimi . Nyie endeleeni tuu kuongea wala siwasikiii
 
HUKO kwa Lizzy bwana mmmhhhh mie napaogopa kulishwa nyama ya mbwa maana bucha zingine bwana mhhh
 
Kwa Liizzy ni balaa maana unafundishw anamna ya kupika na kuonja nyama na unahikishiwa kuwa nyama yako itakuwa tamu tuu hata kama imekonda. Nenda kule uje umpikie wa ubani hatakuacha kamwe
 
Nilipitako nikaona haya mambo ya BUCHA tena mie siyawezi lol....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom