Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,464
Habari kwako dada Josephine.
Kwa muda mrefu sana umekuwa ukitajwa na vyombo vya habari kwa namna isiyopendeza. Aidha washabiki wa UKAWA wamekuwa mstari wa mbele kueneza propaganda kuwa wewe ndio sababu ya Dr. Slaa kujitoa UKAWA.
Ninavyokufahamu wewe ni mcha Mungu na pia umechukuliana na hawa watu kwa muda mrefu. Ila wamekosa shukrani na sasa kila siku umekuwa dustbin ya kutupa kila aina ya uchafu.
Mimi kama mwanamke mwenzio sijaridhika na yanayoendelea hasa mwanamke mwenzangu unavyodhalilishwa. Mwenzio Mama Slaa alijitokeza na kumchafua vizuri kabisa baba watoto wako. Mbona wewe uko KIMYA? Katika barua yangu hii nina kuomba mambo yafuatayo:-
1. Kuombewa na kutolewa mapepo ndio kazi kubwa ya Bwana wetu Yesu Kristo maana ni UKOMBOZI. Hata Gwajima kabla ya kuokoka alikuwa mganga wa kienyeji na yeye binafsi amekiri hilo mara nyingi. Iweje leo akutangazie hivyo hata kama ni kweli.
2. Inawezekana HUNA mapepo ila alikuwa anatumia nguvu zake za Giza kucheza na soul yako. Jikite kwenye maombi na neno la Mungu na kujifunika na Damu ya Yesu Kristo hasa kabla hujalala.
Huo ndio wakati adui hufanya "SPIRITUAL MANIPULATION" kwa kiasi kikubwa. Yanayotokea sasa yalikamilika katika ulimwengu wa roho kwanza.
3. Usipostopisha huu mchezo wa spiritual manipulation uko kwenye hatari nyingi. Vita yako sasa ni Gwajima na wewe na sio Dr. Slaa. Usipoangalia utapoteza kila kitu, Inuka mwanamke simama dai ukombozi kupitia Damu takatifu ya Yesu Kristo Ufunuo 12:11
3. Sinema za MAPEPO za Gwajima ndio kwanza zimeanza. Wakristo wanaoelewa maombi naomba tuliombee Taifa kuliko tulivyowahi kuomba. Hatuhitaji spiritual manipulation kuliongoza Taifa, kila mtu aombe na tusimame kwa UMOJA.
4. Wachungaji wote unaoshirikiana nao halafu wanatoa Siri zako, Kama zipo wapeleke msalabani SAWASAWA na ZABURI ya 35 na 109.
Mungu ni Mungu wa kweli na haki. Huwezi kuwa Mchungaji halafu ukifanya kinyume na maisha ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, that is abomination! Hili jambo sio la kushabikia ni la kukemea.
5. Gwajima anataka aende Ikulu akatawale nchi yetu kwa nguvu za Giza. Ni Damu takatifu ya Yesu Kristo tu, itatuokoa na mapepo haya. Ufunuo 12:11
6. Amka mwanamke, jifunge kibwebwe mauti inapiga hodi mlangoni pako.
7. Watanzania wote tuombe maombi ya kukataa spiritual manipulation yanayofanywa na Mchungaji Gwajima. Tunahitaji Mchungaji wa kutupeleka kwa Bwana Yesu Kristo sio Mchungaji wa kucheza na our souls and mind (mind control).
Josephine you have my prayers.
Mkono wa Bwana haukupunguka usiweze kuokoa na sikio lake sio zito asiweze kusikia kilio chetu. Wawili au watatu wakipatana na sisi ni zaidi ya watatu. Tuombe kwa siku saba kuanzia Leo na tumngoje Bwana kwa majibu.
Kama unaipenda Tanzania ungana nasi katika maombi haya.
MBONA SIKUONA MAHALI POPOTE MCHUNGAJI GWAJIMA AKIWAONGOZA UKAWA AKIWEMO JOSEPHINE NA DR. SLAA SALA YA TOBA KAMA MCHUNGAJI WA KIPENTEKOSTE.
JE AMEMSHAURI MHE. MBOWE AUZE CLUB BILLICANAS IWE KANISA KWANI VIJANA WENGI WANAHARIBIKIA HAPO?????
YEYE KAZI YAKE ALIYOITIWA NA KRISTO YESU NI USHENGA WA KWENDA IKULU TUU???
ALITUAHIDI ATAMFUFUA AMINA CHIFUPA MAANA AMECHUKULIWA MSUKULE - Je hiyo siyo spiritual manipulation????
Fungueni macho ndugu zangu. Maana imeandikwa watu macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.
HIVI HUYU MCH. GWAJIMA SI NDIO ALIMTUKANA KADINALI PENGO NA KULITUHUMU KANISA KATOLIKI. LEO HII AMEGEUKAJE KUWA MTETEZI WA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI????
MAOMBI NDIO DAWA YA HAYA YOTE... omba hivi!!!
"" EEEEE MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI, FUNUA MARINDA WATANZANIA TUPONE""
wote tuseme AMEN. AMEN. AMEN mara 7.
QUEEN ESTHER