Barua kwa Rais Dkt. John P. Magufuli kuhusu kazi ndogo uliyoahidi kumpatia Tundu Lissu

Nndu wa Selote

JF-Expert Member
Jun 21, 2012
564
500
WAPUMBAVU HAWAJAWAHI KUISHA.

Mkuu kwa UANDISHI WAKO NA MANENO yako siamini kabisa kama una shahada Ya UANDISI.

Ungemshauri JIWE KWA KUMUULIZA kuwa HUU NI MWAKA WA TATU je ni NANI ALIMPIGA LISASI TUNDU LISSU???
NA kwa selikali makini kwa nini hawajakamatwa.

USITULETEE UONGO HUNA SHAADA YA UANDISI JINGALAO.
Mbona unamcheka mwenzako uandishi wake wakati wewe mwenyewe umeandika 'selikali' makini ?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
2,492
2,000
Asee sema tu ulichemka, hukusoma lile andiko lote ila umekoment kulingana na heading 😂😂 ahahahaaa!!
Sipendi watu wanaotafuta umaarufu kupitia kwangu, sawa? Shukuru sana kwamba leo ni wikendi, vinginevyo ningekufurahisha kwa evidence after evidence after evidence! (Just kidding! Sisi sote Watanzania, OK??)
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,051
2,000
Sipendi watu wanaotafuta umaarufu kupitia kwangu, sawa? Shukuru sana kwamba leo ni wikendi, vinginevyo ningekufurahisha kwa evidence after evidence after evidence! (Just kidding! Sisi sote Watanzania, OK??)
Don't panic young boy!
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
1,777
2,000
Eng. Zezudu,
S.L.P. .......,
Mbyct,
11/11/2020.

Rais wa JMT,
Dr. John P Magufuli,
S.l.p.. .....
Ikulu, Chamwino,
Dodoma.

Mpendwa Mheshiwa rais,

YAH. MAOMBI YA KAZI NDOGO AMBAYO ULIMUAHIDI TUNDU A LISSU KIPINDI CHA KAMPENI KAMA AGEACHANA NA KUPAMBANIA NAFASI HIYO AMBAYO ALIJUA KABISA HATA SHINDA

Husika na kichwa cha habari hapo juu , Kama kinavyojieleza, pia napenda kukupongeza kwa moyo wangu wote kwa ushindi wa kishindo ulioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 28/10/2020, hongera sana.

Mimi ni kijana wa miaka 28+, Mtanzania, mwenye elimu ya shahada ya uhandisi umeme, kijana mwenye mtazamo mzuri kwa maendeleo ya nchi yetu, naweza sema I have bright future and prolific man.

Katika kipindi cha kampeni uliahidi kumpatia mwanasheria mzoefu na mwanaharakati mbobezi ndugu Tundu A Lissu kazi ndogo kama angeachana na kupambania nafasi ya urais ambayo asingeweza kushinda.

Nimechukua maamuzi haya ya kuomba hii nafasi baada ya Ndugu ,Tundu A Lissu kuondoka nchini na kwenda ughaibuni huko kwa mabeberu na kuikataa ofa ya kazi uliyompatia.

Hakika Mbinu, uwezo na akili ninazo za kuweza kufiti hiyo nafasi uliyomuhaidi ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu, Tundu Lissu na najua Watanzania wengi wanaitolea macho hii nafasi na nimeona niwe wa kwanza kuandika barua ya wazi ya kuomba hii nafasi ambayo kama nitaipata nitaitumikia kwa moyo wote na kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.
Wako mtiifu

Eng. Zezudu

Nakala:
Kwa wale wote wanao pambania nafasi hii ,
  • Pascal Mayalla,
  • USSR,
  • Wengine wote ambao mnapamba kuipata hii nafasi .
Huyu sio Bia Yetu ambaye kaja kivingine baada ya uchafuzi mkuu.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,954
2,000
WAPUMBAVU HAWAJAWAHI KUISHA.

Mkuu kwa UANDISHI WAKO NA MANENO yako siamini kabisa kama una shahada Ya UANDISI.

Ungemshauri JIWE KWA KUMUULIZA kuwa HUU NI MWAKA WA TATU je ni NANI ALIMPIGA LISASI TUNDU LISSU???
NA kwa selikali makini kwa nini hawajakamatwa.

USITULETEE UONGO HUNA SHAADA YA UANDISI JINGALAO.
Unajua jomba tukikutukana sijui utalalamika..usitufanye woooote watanzania Ni wajinga na hatuna akili...Lissu ndio mshahidi namba moja na dereva wake ndio mshahidi namba mbili labda..sasaaaa Kama Hawa majinga yamekataa kutoa ushirikiano kwa polisi unadhan upelelezi utaanzaje...dereva wao wamemficha na ambaye wengi tunaamini atakuwa anajua Siri iliyojificha...Lissu amekuwa mbuzi wa kafara tu na hata yeye anajua Siri iliyopo..hayo wanafanyiziana wenyewe kwa wenyewe wanamsingizia serikali..upumbavvvv mtupu..nawashukuru watanzania kwa maamuzi magumu ya kuwachinja wotee...waende kule wakajifunze siasa na adabu...wewe lissuu mtoto mdogo unaanzaje kumsema Magufuli kwa kazi yake iliyotukuka aliyoifanya kwa miaka mitano..
 
kitalembwa

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
1,730
2,000
Duh kweli maisha magumu !!!

Raisi yupo jeiefu ??? pambana ndg unajidhalilisha hapa tu mitandaoni kwa kuweka identity zako hadharani !!
Kwanza una kadi wewe? Ni kada ???

Unajikomba komba na kujipendekeza walau jina lako liwe linazunguka mezani kwake ili ule uteuzi?? Waulize MATAGA hapo lumumba wamekaa benchi mda gani !!!

Anyway all the best
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,106

Kwani Lissu anakadi, Anna ,Kafulila, Mkumbo, mzee wa jalalani walikuwa na kadi au , wengine walikuwa wapinzani wakaitwa wakaunga mkono juhudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
7,675
2,000
Eng. Zezudu,
S.L.P. .......,
Mbyct,
11/11/2020.

Rais wa JMT,
Dr. John P Magufuli,
S.l.p.. .....
Ikulu, Chamwino,
Dodoma.

Mpendwa Mheshiwa rais,

YAH. MAOMBI YA KAZI NDOGO AMBAYO ULIMUAHIDI TUNDU A LISSU KIPINDI CHA KAMPENI KAMA AGEACHANA NA KUPAMBANIA NAFASI HIYO AMBAYO ALIJUA KABISA HATA SHINDA

Husika na kichwa cha habari hapo juu , Kama kinavyojieleza, pia napenda kukupongeza kwa moyo wangu wote kwa ushindi wa kishindo ulioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 28/10/2020, hongera sana.

Mimi ni kijana wa miaka 28+, Mtanzania, mwenye elimu ya shahada ya uhandisi umeme, kijana mwenye mtazamo mzuri kwa maendeleo ya nchi yetu, naweza sema I have bright future and prolific man.

Katika kipindi cha kampeni uliahidi kumpatia mwanasheria mzoefu na mwanaharakati mbobezi ndugu Tundu A Lissu kazi ndogo kama angeachana na kupambania nafasi ya urais ambayo asingeweza kushinda.

Nimechukua maamuzi haya ya kuomba hii nafasi baada ya Ndugu ,Tundu A Lissu kuondoka nchini na kwenda ughaibuni huko kwa mabeberu na kuikataa ofa ya kazi uliyompatia.

Hakika Mbinu, uwezo na akili ninazo za kuweza kufiti hiyo nafasi uliyomuhaidi ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu, Tundu Lissu na najua Watanzania wengi wanaitolea macho hii nafasi na nimeona niwe wa kwanza kuandika barua ya wazi ya kuomba hii nafasi ambayo kama nitaipata nitaitumikia kwa moyo wote na kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.
Wako mtiifu

Eng. Zezudu

Nakala:
Kwa wale wote wanao pambania nafasi hii ,
  • Pascal Mayalla,
  • USSR,
  • Wengine wote ambao mnapamba kuipata hii nafasi .
Subiri barua pepe toka kwa Lissu akikutuhumu kumsaliti kwa kuchukua nafasi yake, msaliti ni msaliti tu.
 
Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,330
2,000
Dogo kweli wewe ni engineer hutanii.Pamoja na ni swali la kidato cha pili lakini kwa waliosoma art japo walipitia hesabu kidato cha pili ni rahisi kwao kusahau swali rahisi hivi vile wataona wameingia mrengo wa art.Seems you are serious keep it up wanaokubeza achana nao
Unamuulizaje mtu swali na humuoni anajibu anytime anataka ... hauoni ata gugo ..em nilulize chchte kama nitashindwa jibu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom