Barua kwa Rais Dkt. John P. Magufuli kuhusu kazi ndogo uliyoahidi kumpatia Tundu Lissu

mzee hili swali si la kidato cha pili .
Ok sio case , sine/ Cosine unapata Tangent
Na ukichukua Cosine/sine unapata cotangent , ambayo Ni reciprocal ya Tangent.
Nipo siliasi na kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kweli wewe ni engineer hutanii.Pamoja na ni swali la kidato cha pili lakini kwa waliosoma art japo walipitia hesabu kidato cha pili ni rahisi kwao kusahau swali rahisi hivi vile wataona wameingia mrengo wa art.Seems you are serious keep it up wanaokubeza achana nao
 
Sijali kabisa ,Nikosiliasi kuataka kazi aliyoikataa TAL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu hawezi kushiriki kubariki uhuni... Lissu ni wa world class Level... kwanza muda huu anajiandaa kuhutubia Bunge lenye hadhi duniani...Bunge la Ulaya... Unafikiri atakuwa mtanzania wa ngapi kupata nafasi ya kuhutubia??

. cha msingi mshaiba kura; bac sawa yaishee!!
 
K
Mimi ni kijana wa miaka 28+, Mtanzania, mwenye elimu ya shahada ya uhandisi umeme, kijana mwenye mtazamo mzuri kwa maendeleo ya nchi yetu, naweza sema I have bright future and prolific man.
Njaa ni mbaya sana; yaani unatumia mgongo wa Lissu kuomba kazi...duh..

W
 
Lissu hawezi kushiriki kubariki uhuni... Lissu ni wa world class Level... kwanza muda huu anajiandaa kuhutubia Bunge lenye hadhi duniani...Bunge la Ulaya... Unafikiri atakuwa mtanzania wa ngapi kupata nafasi ya kuhutubia??

. cha msingi mshaiba kura; bac sawa yaishee!!
Angebaki nchini ,ilikutafuta muafaka wa ndani, Mabeberu wako kwa ajili ya interest zao na kuexport resources zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eng. Zezudu,
S.L.P. .......,
Mbyct,
11/11/2020.

Rais wa JMT,
Dr. John P Magufuli,
S.l.p.. .....
Ikulu, Chamwino,
Dodoma.

Mpendwa Mheshiwa rais,

YAH. MAOMBI YA KAZI NDOGO AMBAYO ULIMUAHIDI TUNDU A LISSU KIPINDI CHA KAMPENI KAMA AGEACHANA NA KUPAMBANIA NAFASI HIYO AMBAYO ALIJUA KABISA HATA SHINDA

Husika na kichwa cha habari hapo juu , Kama kinavyojieleza, pia napenda kukupongeza kwa moyo wangu wote kwa ushindi wa kishindo ulioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 28/10/2020, hongera sana.

Mimi ni kijana wa miaka 28+, Mtanzania, mwenye elimu ya shahada ya uhandisi umeme, kijana mwenye mtazamo mzuri kwa maendeleo ya nchi yetu, naweza sema I have bright future and prolific man.

Katika kipindi cha kampeni uliahidi kumpatia mwanasheria mzoefu na mwanaharakati mbobezi ndugu Tundu A Lissu kazi ndogo kama angeachana na kupambania nafasi ya urais ambayo asingeweza kushinda.

Nimechukua maamuzi haya ya kuomba hii nafasi baada ya Ndugu ,Tundu A Lissu kuondoka nchini na kwenda ughaibuni huko kwa mabeberu na kuikataa ofa ya kazi uliyompatia.

Hakika Mbinu, uwezo na akili ninazo za kuweza kufiti hiyo nafasi uliyomuhaidi ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu, Tundu Lissu na najua Watanzania wengi wanaitolea macho hii nafasi na nimeona niwe wa kwanza kuandika barua ya wazi ya kuomba hii nafasi ambayo kama nitaipata nitaitumikia kwa moyo wote na kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.
Wako mtiifu

Eng. Zezudu

Nakala:
Kwa wale wote wanao pambania nafasi hii ,
  • Pascal Mayalla,
  • USSR,
  • Wengine wote ambao mnapamba kuipata hii nafasi .
Ongeza nakala kwa bashite
 
Anaomba yeye apewe hiyo kazi baada ya nguli wa sheria kwenda kwao Ubelgiji.
"Nguli wa sheria" kakimbia kesi za Kisutu kwani Segerea ilikuwa inamngoja baada ya ku - jump bail! Kaona mbali, badala ya kuondoka tarehe18/12/2020 kama alivyosema, akaona asepe mapema kukwepa zar ia Segerea au Ukonga!
 
Unaomba kazi ambayo hata huijui ni kazi gani. Alafu kigezo chako kikuu ni kuwa kazi hiyo imekataliwa na mwingine.

Hii ni furahisha genge tu mkuu.
 
Iyo kazi siijui ni ipi lakani najua ni halali na ipo kisheria , nina wajibu wa kuomba moja kwa moja bila kupiga Kona Kona.
 
Eng. Zezudu

Tatizo la lisu aliambiwa aache kugombea alitakiwa amuunge mkono mbowe na yeye asubili uDC au uRAS sasa akaja na kelele za kuwaingiza watu mtaani sasa amekimbia nchi .atapata tabu sana

Back
Top Bottom