Barua kwa Rais Dkt. John P. Magufuli kuhusu kazi ndogo uliyoahidi kumpatia Tundu Lissu

Na ndio maana nimeamua kumpima kama kweli ni Engineer ajibu hili kwanza.Kuanzia hapo utafuata usaili mwingine nimeona nikimuwekea mahesabu mazito ya electrical kama mambo ya phase angle na sinusoidal kwenye sine wave wakati AC inazalisha umeme nitakuwa nimemuonea sana
Samahani mkuu kidogo sijakuelewa uliposema wakati AC inazalisha umeme ni AC yani Air Condition? Au ulikusudia kuandika wakati AC inazalishwa yani Alternating Current?
 
WAPUMBAVU HAWAJAWAHI KUISHA.

Mkuu kwa UANDISHI WAKO NA MANENO yako siamini kabisa kama una shahada Ya UANDISI.

Ungemshauri JIWE KWA KUMUULIZA kuwa HUU NI MWAKA WA TATU je ni NANI ALIMPIGA LISASI TUNDU LISSU???
NA kwa selikali makini kwa nini hawajakamatwa.

USITULETEE UONGO HUNA SHAADA YA UANDISI JINGALAO.
CDM mnazingua Sana nyie . Ko ulitaka niandikaje, au Mana kiswahili ni kigumu zaidi ya kingereza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAPUMBAVU HAWAJAWAHI KUISHA.

Mkuu kwa UANDISHI WAKO NA MANENO yako siamini kabisa kama una shahada Ya UANDISI.

Ungemshauri JIWE KWA KUMUULIZA kuwa HUU NI MWAKA WA TATU je ni NANI ALIMPIGA LISASI TUNDU LISSU???
NA kwa selikali makini kwa nini hawajakamatwa.

USITULETEE UONGO HUNA SHAADA YA UANDISI JINGALAO.
Mbona hata wewe Umeandika madudu tu, hamna kiswahili fasaha hapa mzee. Rudia kusoma utaona madudu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eng. Zezudu,
S.L.P. .......,
Mbyct,
11/11/2020.

Rais wa JMT,
Dr. John P Magufuli,
S.l.p.. .....
Ikulu, Chamwino,
Dodoma.

Mpendwa Mheshiwa rais,

YAH. MAOMBI YA KAZI NDOGO AMBAYO ULIMUAHIDI TUNDU A LISSU KIPINDI CHA KAMPENI KAMA AGEACHANA NA KUPAMBANIA NAFASI HIYO AMBAYO ALIJUA KABISA HATA SHINDA

Husika na kichwa cha habari hapo juu , Kama kinavyojieleza, pia napenda kukupongeza kwa moyo wangu wote kwa ushindi wa kishindo ulioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 28/10/2020, hongera sana.

Mimi ni kijana wa miaka 28+, Mtanzania, mwenye elimu ya shahada ya uhandisi umeme, kijana mwenye mtazamo mzuri kwa maendeleo ya nchi yetu, naweza sema I have bright future and prolific man.

Katika kipindi cha kampeni uliahidi kumpatia mwanasheria mzoefu na mwanaharakati mbobezi ndugu Tundu A Lissu kazi ndogo kama angeachana na kupambania nafasi ya urais ambayo asingeweza kushinda.

Nimechukua maamuzi haya ya kuomba hii nafasi baada ya Ndugu ,Tundu A Lissu kuondoka nchini na kwenda ughaibuni huko kwa mabeberu na kuikataa ofa ya kazi uliyompatia.

Hakika Mbinu, uwezo na akili ninazo za kuweza kufiti hiyo nafasi uliyomuhaidi ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu, Tundu Lissu na najua Watanzania wengi wanaitolea macho hii nafasi na nimeona niwe wa kwanza kuandika barua ya wazi ya kuomba hii nafasi ambayo kama nitaipata nitaitumikia kwa moyo wote na kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.
Wako mtiifu

Eng. Zezudu

Nakala:
Kwa wale wote wanao pambania nafasi hii ,
  • Pascal Mayalla,
  • USSR,
  • Wengine wote ambao mnapamba kuipata hii nafasi .
Mkuu nilikuona pale posta karibu na ofisi za mbeya jiji ukisend barua yako😁
 
Kazi ipo
FB_IMG_1605119501028.jpg
 
kama wewe ni mhandisi umeme jibu hili swali kwanza ukichukua sine ukagawanya kwa cosine unapata jibu gani.Swali la pili ukichukua cosine ukagawanya na sine unapata nini.
Ukinijibu haya maswali nitajua wewe ni mhandisi nitaangalia namna ya kukuunganisha upate kazi nzuri ya taaluma yako
mzee hili swali si la kidato cha pili .
Ok sio case , sine/ Cosine unapata Tangent
Na ukichukua Cosine/sine unapata cotangent , ambayo Ni reciprocal ya Tangent.
Nipo siliasi na kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio maana nimeamua kumpima kama kweli ni Engineer ajibu hili kwanza.Kuanzia hapo utafuata usaili mwingine nimeona nikimuwekea mahesabu mazito ya electrical kama mambo ya phase angle na sinusoidal kwenye sine wave wakati AC inazalisha umeme nitakuwa nimemuonea sana
hamna shida mzee mpaka maswala ya power factor ,synchronous motor, induction motor we uliza tu, hakishindikani kitu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aina ya vihiyo ambao wanaamini katika watu walioshindwa, kuendesha chama chao tuu wameshindwa kazi kususasusa tuu.

Tulieni tuijenge nchi sasa nyie jitisheni na mkimbilie huko nje mkaipake matope nchi ila tunajua na wao wanaona namna serikali najitahidi kusimamia fedha na kuendesha miradi mikubwa.
Kweli kabisa SGR, Ndege ,flyover ,barabara hakika uongozi huu ni Moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu Mwepesi sana yaani kakimbia wakati hakuna mtu yeyote mwenye mpango naye? Sasa maandmano yasiyo na kikomo atafanyia Belgium?
 
Back
Top Bottom