Barua kwa Mchumba Wangu (Kama haikuhusu usisome)

Barua kwa Mchumba Wangu (Kama haikuhusu usisome)

mi sijawai kunata kwa mtu hata masaa 24 yenyewe ,si nilishasema huku mi naachika kila siku hukuona hiyo thread ? mi uvumilivu wa kunyonyesha mtu miaka 5 sina aisee ,mi husomeki ndani ya lisaa siku nyingi nishasepa,najipenda kuliko chochote.
na mwanaume sio ndugu yangu

Sasa smile wewe mwenyewe husomeki mwanaume atasomeka vipi,, marriage comes automatically,,

Kuna mwanamke ukimwangalia machoni tu unajua hapa msala kuoa bora nimweke pending,, but kuna mtu unakutana nae na kukaa wiki tu unajua hapa nikichelewa ninakuta mwana si wangu,,, kama mjanja kumsoma mtu sio kazi
 
sometimes uwa nikitafakari ninashindwa kuelewa maana halisi ya ndoa. Kwani ili kuthibitisha mnapendana mpaka mka sign mkataba?
Na hivi maana halisi ya mabinti kung'ang'ania ndoa ni nini?
Hivi mabinti uwa mnaolewa na watu kwa kuwapenda au mnaolewa na mtu ili mradi tu na wewe uitwe mke wa fulani?
 
pete miaka mitano? unanyonyesha mtu mzima 5 years ,hata mtoto angekuwa ameshaacha na kuanza shule kabisa
pole sana bint ungekuwa hata na reserve umeshazeeka buer hapo ,unaweza kukosa na mtu tena atiiii!
Huyu binti angeelewa wengine tunahitaji opportunities kama hizi angalao za kunyonyeshwa kwa siku moja, asingekuwa anapoteza muda wake na mipete vidoleni.
 
Sasa smile wewe mwenyewe husomeki mwanaume atasomeka vipi,, marriage comes automatically,,

Kuna mwanamke ukimwangalia machoni tu unajua hapa msala kuoa bora nimweke pending,, but kuna mtu unakutana nae na kukaa wiki tu unajua hapa nikichelewa ninakuta mwana si wangu,,, kama mjanja kumsoma mtu sio kazi
si ndio hata mwanaume siku ya kwanza tu ukimwangalia usoni unajua kabisa hapa msala acha nikimbie
 
ila wanawake jamani sometimes hawa viumbe mmnawalea.....miaka 5? Unangojea ndoa tu? Hata kuwa na wa pembeni?
 
ubarikiwe kwa uvumilivu wako wakukaa 5yrs unamsubiria mtu na lipete kidoleni hebu liflash kabisa toilet khaaa,hivi huo ujasiri unautoa wapi wa kukubali kugegedwa miaka yote hiyo si maramia mugegedana kwa pleasure zoezi likiisha kila mtu anashika hamsini zake lakini sio huo uchumba wa magumashi.
 
Ulimharakisha akuchumbie haya sasa mharakishe akuoe!!!

Most of the times...you ladies are to blame in your own predicaments.
 
mpenzi mbona umenikuta nanyonyeshwa na wengi sana ukaniomba ubakie mwenyewe unaninyonyesha nikalikubali ombi lako .... kuhusu mimi kukunyonyesha dushulele langu nilidhani unapenda kulishughulikia ,kumbe ni sehemu ya kero kwako.......
tatizo la familia yenu tunalifahamu mpenzi nikienda siendeshi vogue au v8 ,hati ya ghorofa unajua sitapokelewa ,hlf bado naendelea kukusanya wale ng'ombe 300 wa mahari ndiyo wamefika 250 baby ...naomba miaka miwili mingine nitimize hiyo idadi ,msukosuko wa kiuchumi ulinikumba pia mpenzi halikuwa tatizo la USA pekee yake.

kuhusu kumkuta mwana siyo wangu mpenzi najua The Boss, babu aspirin, Bishanga, Good Guyna co wanakunyemelea sana ila usisahau na mimi nawindwa na kina Evelyn Salt, Madame B, Kongosho, King'asti, BADILI TABIA, amu na co.
 
Hujachoka ndo maana unatoa warning..ungekua umechoka ungeshaamsha zamani sana.
Lakini na wewe mbina unaonekana mgumu wa kuelewa??miaka mitano umevaa pete si mpaka imefubaa..jamaa anakupa meseji huyo sema wewe humuelewi..
 
snowhite njoo upesi kuna emergency! Muone huyu binti anataka kurudisha pete ya dhahabu! Kwani hujui masonara walipo! Mapenzi ya kizamani umeyajulia wapi weye mtoto wa juzi, kha! Mjini hawasusi jumla jumla!
Nashukuru kwamba hatimaye umejitokeza na nadhani ujumbe umeshakufikia. Napenda nikuhakikishie kwamba applications nazipata nyingi sana ila applicants nawaweka pending kwa ajili ya kuheshimu pete yako ulonivika miaka 5 iliyopita. Kwa kuwa inaelekea mambo yako yamekuwa ngoja ngoja, si ajabu nikakurudishia pete yako na kuanza kuangalia applicant mwingine mwenye shida ya ajira.
 
Last edited by a moderator:
mpenzi mbona umenikuta nanyonyeshwa na wengi sana ukaniomba ubakie mwenyewe unaninyonyesha nikalikubali ombi lako .... kuhusu mimi kukunyonyesha dushulele langu nilidhani unapenda kulishughulikia ,kumbe ni sehemu ya kero kwako.......
tatizo la familia yenu tunalifahamu mpenzi nikienda siendeshi vogue au v8 ,hati ya ghorofa unajua sitapokelewa ,hlf bado naendelea kukusanya wale ng'ombe 300 wa mahari ndiyo wamefika 250 baby ...naomba miaka miwili mingine nitimize hiyo idadi ,msukosuko wa kiuchumi ulinikumba pia mpenzi halikuwa tatizo la USA pekee yake.

kuhusu kumkuta mwana siyo wangu mpenzi najua The Boss, babu aspirin, Bishanga, Good Guyna co wanakunyemelea sana ila usisahau na mimi nawindwa na kina Evelyn Salt, Madame B, Kongosho, King'asti, BADILI TABIA, amu na co.

Thubutu yako ushindikane huko mi ndo nikuwinde!!!!!!
aku..., hela yenyewe unalia lia huna nawinda nini sasa???
 
Dear ........, Najua wewe ni mpz wa JF na ujumbe huu utakufikia. Kumbuka kwamba huu ni mwaka wa tano tangu univike pete ya uchumba. Baada ya kunivika pete ukajihalalishia kunigegeda kadri unavyotaka, nami nilikubali kwa kuwa niliamini kwamba utakuwa "mme" siku si nyingi. Nilikupenda, kukuheshimu na kukupa upendo wangu wote. Linalonisikitisha ni kuona siku zinazidi kupita na wewe hata huzungumzii mpango wa ndoa! Nikikuuliza jibu lako siku zote ni "bado kidogo" Naomba nikuambie wazi kwamba yafuatayo yamenichosha:- 1. Nimechoka Kugegedwa kwa muda wa miaka mitano bila matunda yoyote 2. Nimechoka Kuitwa "miss" Binti.com 3. Nimechoka Kukunyonyesha wewe libaba zima (mimi sasa natamani kunyonyesha "baby") 4. Nimechoka kunyonya dushelele lako kila siku wakati sina uhakika kama litakuwa mali yangu au utalimilikisha kwa mwanamke mwingine. Napenda nikukumbushe kwamba Chelewa chelewa utakuta mwana si wako. Niko radhi kujisalimisha kwa babu Asprin kama mke wa tano kuliko hii subira isiyovuta heri. NIMECHOKA

Ukisepa usirudishe bana hiyo pete bora kidogo kuliko kukosa kabisa, gram moja ishafika laki naa ujue.....
mwenzio hapa nang'aa na hereni za gold usidhani nilinunua ni engagement ring nimeyeyusha chezea ahadi weye!!!!!
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako murua shosti.
 
Miaka 5 bado tu unasubiri......aisee wanawake wenzangu achane kuhadaiwa na hizo pete, pete sio unyumba wala ndoa. Muda huo wote ungekuwa mbali kifamilia. Anyways.....naomba uwe ndo umeshaamua kabisa kujiondosha na huyo anakuzibia rizki.

kweli kbs,kwa dunia ya sasa pete si ishu sana,miaka 5 yote hiyo dada fanya maamuzi magumu kabla hujazeekea kwenye uchumba.
 
mpenzi mbona umenikuta nanyonyeshwa na wengi sana ukaniomba ubakie mwenyewe unaninyonyesha nikalikubali ombi lako .... kuhusu mimi kukunyonyesha dushulele langu nilidhani unapenda kulishughulikia ,kumbe ni sehemu ya kero kwako.......
tatizo la familia yenu tunalifahamu mpenzi nikienda siendeshi vogue au v8 ,hati ya ghorofa unajua sitapokelewa ,hlf bado naendelea kukusanya wale ng'ombe 300 wa mahari ndiyo wamefika 250 baby ...naomba miaka miwili mingine nitimize hiyo idadi ,msukosuko wa kiuchumi ulinikumba pia mpenzi halikuwa tatizo la USA pekee yake.

kuhusu kumkuta mwana siyo wangu mpenzi najua The Boss, babu aspirin, Bishanga, Good Guyna co wanakunyemelea sana ila usisahau na mimi nawindwa na kina Evelyn Salt, Madame B, Kongosho, King'asti, BADILI TABIA, amu na co.

yaani mie nikuwinde wewe? Simba anawindaga sungura kweli? Siku hizi nawinda tembo na twiga baba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom