The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Na mimi nije kunyonya? lol
hapana hii lactogen ni kwa ajili ya watoto na baba yao
Na mimi nije kunyonya? lol
pole sana, katika hali ya kawaida hupaswi kukaa na uchumba zaidi ya miaka miwili otherwise uwe unasoma......... sijui kama mnafahamu, rate ya depreciation ya mwanamke huwa kubwa sana kuliko ya mwanaume, be carefully.Dear ........, Najua wewe ni mpz wa JF na ujumbe huu utakufikia. Kumbuka kwamba huu ni mwaka wa tano tangu univike pete ya uchumba. Baada ya kunivika pete ukajihalalishia kunigegeda kadri unavyotaka, nami nilikubali kwa kuwa niliamini kwamba utakuwa "mme" siku si nyingi. Nilikupenda, kukuheshimu na kukupa upendo wangu wote. Linalonisikitisha ni kuona siku zinazidi kupita na wewe hata huzungumzii mpango wa ndoa! Nikikuuliza jibu lako siku zote ni "bado kidogo" Naomba nikuambie wazi kwamba yafuatayo yamenichosha:- 1. Nimechoka Kugegedwa kwa muda wa miaka mitano bila matunda yoyote 2. Nimechoka Kuitwa "miss" Binti.com 3. Nimechoka Kukunyonyesha wewe libaba zima (mimi sasa natamani kunyonyesha "baby") 4. Nimechoka kunyonya dushelele lako kila siku wakati sina uhakika kama litakuwa mali yangu au utalimilikisha kwa mwanamke mwingine. Napenda nikukumbushe kwamba Chelewa chelewa utakuta mwana si wako. Niko radhi kujisalimisha kwa babu Asprin kama mke wa tano kuliko hii subira isiyovuta heri. NIMECHOKA
ahahahahhahhahahhaha eti nataka kurudisha pete!uwwwih hizi mbona sio za enzi zake!chezea kuchana chana picha za the boss wewe plus kurusidishia saa yake ya kimweku mweku!ahahahahhahahha uuwih!we Binti.com kachonge kikuku hiyo pete lol!snowhite njoo upesi kuna emergency! Muone huyu binti anataka kurudisha pete ya dhahabu! Kwani hujui masonara walipo! Mapenzi ya kizamani umeyajulia wapi weye mtoto wa juzi, kha! Mjini hawasusi jumla jumla!
Shosti, wasi wangu ni kwamba bila kurudisha hilo lipete hataamini kwamba nimesitisha mkataba na anaweza kuendelea kunifuatilia na kuniwekea kiwingu nisipate mwingine wa kunyonyesha.ahahahahhahhahahhaha eti nataka kurudisha pete!uwwwih hizi mbona sio za enzi zake!chezea kuchana chana picha za the boss wewe plus kurusidishia saa yake ya kimweku mweku!ahahahahhahahha uuwih!we Binti.com kachonge kikuku hiyo pete lol!
Kumbe kweli Mbaazi ikikosa maua husingizia jua. Niwe na mapungufu yote hayo nikunyonyeshe miaka 5 na uendelee kunigegeda non-stop kwa kipindi chote hicho??? Wewe kweli waweza kuwa Mzimu!Kwa kweli mimi nakupenda kweli, ila kuna vitu ambavyo vina nikera saana.
1. Wewe sio msafi. Yaani harufu sehemu ya ku du hua inanikata steam saana.
2. Hujui kusafisha pua yako. Huo inatoa harufu.
3. Huna kauli nzuri, halafu unajidai unanitania.
4. Macho juu saana. Huna hijabu ya macho hata kidogo na sina uhakika kama hawanigongei. Eti unaniambia kua wewe marafiki zako ni wanaume.
5. Mavazi ya kujionyesha maumbo yako ya mwili, yananihuzunisha kwa sababu siwezi kua nina mpita kila mwanaume, wengine wamenizidi kitu flani, sasa ukiwa hujiheshimu, unaniweka kwenye wakati mgumu saana.
6. Kunipenda mimi sio tija, heshimu na wazazi wangu pia.
7. Haujitumi kwenye fani, kiufupi umvivu.
Ni hayo tu. Kama vipi tuipotezee. Pete peleka kwa sonara upate hela.
Dear ........, Najua wewe ni mpz wa JF na ujumbe huu utakufikia. Kumbuka kwamba huu ni mwaka wa tano tangu univike pete ya uchumba. Baada ya kunivika pete ukajihalalishia kunigegeda kadri unavyotaka, nami nilikubali kwa kuwa niliamini kwamba utakuwa "mme" siku si nyingi. Nilikupenda, kukuheshimu na kukupa upendo wangu wote. Linalonisikitisha ni kuona siku zinazidi kupita na wewe hata huzungumzii mpango wa ndoa! Nikikuuliza jibu lako siku zote ni "bado kidogo" Naomba nikuambie wazi kwamba yafuatayo yamenichosha:- 1. Nimechoka Kugegedwa kwa muda wa miaka mitano bila matunda yoyote 2. Nimechoka Kuitwa "miss" Binti.com 3. Nimechoka Kukunyonyesha wewe libaba zima (mimi sasa natamani kunyonyesha "baby") 4. Nimechoka kunyonya dushelele lako kila siku wakati sina uhakika kama litakuwa mali yangu au utalimilikisha kwa mwanamke mwingine. Napenda nikukumbushe kwamba Chelewa chelewa utakuta mwana si wako. Niko radhi kujisalimisha kwa babu Asprin kama mke wa tano kuliko hii subira isiyovuta heri. NIMECHOKA
mpenzi mbona umenikuta nanyonyeshwa na wengi sana ukaniomba ubakie mwenyewe unaninyonyesha nikalikubali ombi lako .... kuhusu mimi kukunyonyesha dushulele langu nilidhani unapenda kulishughulikia ,kumbe ni sehemu ya kero kwako.......
tatizo la familia yenu tunalifahamu mpenzi nikienda siendeshi vogue au v8 ,hati ya ghorofa unajua sitapokelewa ,hlf bado naendelea kukusanya wale ng'ombe 300 wa mahari ndiyo wamefika 250 baby ...naomba miaka miwili mingine nitimize hiyo idadi ,msukosuko wa kiuchumi ulinikumba pia mpenzi halikuwa tatizo la USA pekee yake.
kuhusu kumkuta mwana siyo wangu mpenzi najua The Boss, babu aspirin, Bishanga, Good Guyna co wanakunyemelea sana ila usisahau na mimi nawindwa na kina Evelyn Salt, Madame B, Kongosho, King'asti, BADILI TABIA, amu na co.
kweli?
ahahahahhahhahahhaha eti nataka kurudisha pete!uwwwih hizi mbona sio za enzi zake!chezea kuchana chana picha za the boss wewe plus kurusidishia saa yake ya kimweku mweku!ahahahahhahahha uuwih!we Binti.com kachonge kikuku hiyo pete lol!