Ujumbe kwa Ex wangu

Ujumbe kwa Ex wangu

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,903
Reaction score
3,139
Leo nimejisikia niwaachie ujumbe Exs zangu watatu. Ungana nami.

WA KWANZA.
"Wewe ni Mwanamke mzuri kati ya wote niliokutana nao, ahsante kwa kunidhihirishia hitaji lako la ndoa, ingawa nilishindwa na kulazimika kuachana nawe lakini siachi kusema Mwanamume aliyekuoa ana bahati, aichezee tu yeye mwenyewe. Uwe na upendo na heshima kwake, kwa sababu sipendi nikuone siku umeingia kwenye kundi la Single Mothers. Si salama"

WA PILI
"We fala kwanza naomba ujue tu kama bado nakupenda licha ya kunitesa vile, anyway, bado mwanangu, tunapasha, japo unanipa stori za wewe na bwana ako, haina noma, nachotaka kusema ni kwamba, umbali sio kitu hata kidogo, as long as unanimiss, namba yangu unayo, gari unalijua, panda unifuate, maana nikikufuata ni msala, na sitaki, nilikuota siku, na unajua nilichoota mbwa wewe" [emoji23]

WA TATU
"Kati ya Wanawake walioniheshimisha, wewe mmoja wapo, nakumbuka kuna mgahawa tuliingia halafu sikuwa na hela, mwenzangu ukajua kama nimechoka, ukaingia kwenye pochi yako na kunipitishia buku teni chini ya meza, mwanaume nikainasa nikaitia kwenye wallet halafu nikaenda kuvimba counter, dah! Nikikumbuka hapa tu, roho yangu inaniuma nilikupotezaje, ila hamna shida, ulinambia kama dini ndio tatizo, nilikuelewa, nakutakia maisha mema, Mungu akubariki "

Muachie ujumbe Ex wako, ataukuta hapa.
 
Japo mwisho haukuwa mzuri lakini namkumbuka kama mtu muhimu na niliyempenda na ninampenda, namtakia maisha mema popote alipo.
 
Utarogwa soon. Mwanamke ukimwacha mfungie vioo
 
huwa sina utaratibu wa kukumbuka nyuma hasa wanawake mimi huwa nasonga mbele tu kumkumba ex sijawahi yaani hiyo kwanGu sijawahi wakuu
 
We mjinga mjinga hata kama tuliachana kitambo lkn unajua kamoyo kangu kadogo kanavokukubali hata kama uliolewa na mimi nikaoa, ila nasubiri kwa hamu tupashe kiporo kama unavoniahidigi na siku nikikuweka mikononi utajuta maana nimeongeza mauwezo mwenzio sio kama zamani, na mwanao anakusalimia sana.
 
Back
Top Bottom